Recent content by kwileme

  1. kwileme

    Sophia Simba: CHADEMA wanatumiwa kuanzisha vita na Mataifa ya nje ili yapate soko la Silaha

    Huyu ni kiongozi wa Chama na Serikali, Naamini hii ndo mitazamo yao wakiiangalia CDM. Naamini ndo ajenda katika vikao vyao, serikalini na chamani kwao, wakati wa kuujua ukweli ndo huu! Tunachowaomba CDM ni kufungua kesi mara moja! "Mdada" apande kizimbani atoe ushahidi! Watanzania tunahamu ya...
  2. kwileme

    Mjengo wa ajabu wa Sugu Mbeya!

    Lazima achunguzwe kwa nini kajenga nyumba ya kawaida sana kwa hadhi alio nayo! Tulitarajia "MJI-VILLA"!
  3. kwileme

    Sugu aitakatisha Mbeya

    Nakushangaa judi wa kikuda, sory wa kishua, unashindwa kutambua kuwa wabunge wetu wanalipwa vizuri, na kama si ufisadi na kuendekeza "mabomozi" wabunge wengi wangekuwa na mahekalu kama unayoyashangaa ya mr Sugu! Tunachokiona kwa baadhi ya wabunge wetu wanashindana kuvua zip na fumanizi za...
  4. kwileme

    Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

    Mkuu, twanga Kiswahili kama ulivyomalizia, hapo kwenye nyekundu mmh! ni kama pamevunda!
  5. kwileme

    CHADEMA, ukweli ni kuwa CCM itashinda Urais uchaguzi ujao: Imarisheni Bunge na Serikali za Mitaa

    Rais mpya, matumaini ya kushinda kwa kutumia wataalamu wa kupika matokeo uliowataja, ni ya kujidanganya! Nafikiri msiba unaomaanisha hautakuwa wa CHADEMA utakuwa ni msiba wa kitaifa! Nakuona unajifaharisha na chama chenye watu wanaoweza kulazimisha kukaa madarakani hata kama hawapendwi! KILA...
  6. kwileme

    Madawa ya Kulevya: Meli ya Tanzania iliyobeba unga wa Sh. Bilioni 123 yazua kizaazaa nchini Italia!

    Usijali huko wajanja wako kibao! Kwani huko si ndo anakopita kInAnA na majambo yake, na bado anabalaswa!?
  7. kwileme

    msaada: niko mwenge nataka kwenda kambi ya jeshi lugola naomba maelekezo

    MBONA HUJAMUULIZA ANAKWENDA KUFANYA NINI? Nakushauri muulize trafiki aliepo hapo kwenye mataa!
  8. kwileme

    Pigo la mwaka,Mwigulu aibomoa CHADEMA,mbunge wake na madiwani wawili kutimkia CCM!!

    Mbona hakuna kazi ya maana aliofanya hata kustahili hayo? MENGINE YOTE NI KWA BURUDANI ZAIDI LAKINI KISIASA BADO HANA JIPYA?
  9. kwileme

    Pigo la mwaka,Mwigulu aibomoa CHADEMA,mbunge wake na madiwani wawili kutimkia CCM!!

    Mandieta waza kwa kutumia kichwa, "Ma------" ni kwa kukalia! Hizo ni propaganda za kitoto zisizo na mashiko! Kama unauhakika nazo kama unavyodai mwaga majina waje wakanushe hapa! Tunaosoma mambo katika mtandao huu hatuna muda na porojo, tuna wakati wa kuchangia mawazo chanya kwa maendeleo na...
  10. kwileme

    Kanuni hii ndio imemtimua Mbowe bungeni - Ndungai yupo sahihi

    Nimeamini Hamy D unaweza kuwa unatumika vibaya kiasi cha wewe mwenyewe kuacha kutumia bongo lako kabisa! Ikumbukwe kabla ya Mbowe kusimama, kulikuwa na maelekezo yaliotolewa na Ndugai, mara baada ya Werema kumaliza kufyatua uongo wake na kura za kishabiki kupigwa! Maelekezo yalikuwa,"hakutakuwa...
  11. kwileme

    Wabunge 106 kati ya 351 ndio waliopitisha Mswada wa sheria ya Mabadiliko ya Katiba

    Ndugu yangu, kudadavua hoja hii sasa, nisawa na kupanga dawa kwa mgonjwa aliekwisha fariki dunia! Sheria ndo hio inaenda kusainiwa! labda tujadili kama kuna uwezekano kisheria kuisimamisha sheria hii kutekelezwa! CCM ilipanga kufanya hayo, na sababu ziko wazi! Ukiendelea kujadili utaitwa mchochezi!
  12. kwileme

    JWTZ yakamata maafisa wanne wa Rwanda nchini Congo

    Demarco, unajaribu kumfundisha ng'ombe dume kutambua harufu ya ng'ombe jike alie kwenye 'JOTO'!
  13. kwileme

    Live: Mansour Himid , Dk Slaa na Hassan Moyo

    Kmbembwe, unahakika unaifahamu vizuri sera ya majimbo ya CDM? Laiti ungeijua vizuri usingeipinga! Hata kwa mtazamo wa jumla tu bila kuingia kwa undani, majimbo yanayozungumzwa na CDM sio katika muundo na madaraka ya mikoa tulionayo hivi sasa. Tukiita mikoa kwa lugha tuliozoea sana wengi, basi...
  14. kwileme

    Mwandosya: Makinda anafaa kuwa rais 2015!

    Uliowataja hata moja hajasikika akiutamani urais, Mbowe toka ashindwe vibaya kipindi kile cha nyuma hajasikika tena hadharani akitamani hio kitu! Lizaboni, kichwa cha kuku hakistahimili kilemba! Tuwe wa-wazi, bi Mkora hio kitu ni sawa na ile methali maarufu ya kiswahili isemayo maji ya kifuu, ni...
  15. kwileme

    Mwili wa Kamanda Major Khatibu Mshindo wawasili toka DRC.

    Malafyale, jina linaonesha u mtawala, chifu, mlinzi wa himaya, huoni kama kufa kwa kamanda moja ili kuokoa ukanda wa maziwa makuu wote ni sadaka bora zaidi kuliko kubaki bongo land na mkuda kama PK, akiendelea kuwapiga masingi ya uso! Damu ya kamanda wetu haitapotea bure! Harudi mtu nyumbani...
Back
Top Bottom