King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,805
- 94,882
- Thread starter
- #41
Mbona unatuchanganyia habari? Mjengo wa ajabu ni hajabu ipi hapo.
Weka yako tuone.
Mbona unatuchanganyia habari? Mjengo wa ajabu ni hajabu ipi hapo.
Weka yako tuone.
Weka yako tuone.
View attachment 115445
big up kamanda
asilimia 98 ya wapiga kura wake, wanaishi maisha ya kubangaiza tu, hawana uwezo wa kujenga nyumba kama hiyo, kama kweli ni mzalendo mpigania haki, why he did opt to build such a very prestigious house while wapiga kura wako hoi..tuwaeleweje kama mnapongezana kujenga majumba wakati mnajiita watetea walala hoi, mnatudanganya...swali la wengi ni kwamba uajabu wa nyumba ya sugu ni upi mbona ya kawaida tu..
Ha ha ha !!Nyumba nzuri na imekaa kisomi. Mtu akiiona jinsi ilivyo descent hawezi kuamini kama ya Sugu.
Hata kujibisha na natahira kama wewe inahitaji moyo sana...hiyo nyuma ina uajabu gani kwa mtu kama sugu au hukumbuki Makamaba alimzunguka dili la zaidi mil 50, je unajua ukikanyaga bungeni tu unapewa mkopo wa mil 90, je hiyo nyumba unayoishangaa una dhani ina thamani ya mil ngapi?...je uliwahi kujiuliza swali la yule mwanadada alietoa uchi ili kaka mtu au kwae ubunge na baadae uwaziri lina thamani gani?...asilimia 98 ya wapiga kura wake, wanaishi maisha ya kubangaiza tu, hawana uwezo wa kujenga nyumba kama hiyo, kama kweli ni mzalendo mpigania haki, why he did opt to build such a very prestigious house while wapiga kura wako hoi..tuwaeleweje kama mnapongezana kujenga majumba wakati mnajiita watetea walala hoi, mnatudanganya...
nyumba ya kawaida sana hiyo, kwa Dar haizidi millioni 40 sijui Mbeya itakuwa bei gani
Ha ha ha !!
Mkuu humo kuna chumba maaalum cha "kutafakari"
Hahahahahahah, lazima kiwepo. Si unaona vyumba vingine madirisha yake yanashuka mpaka chini.
Na akitoka humo nduki yule askari wa bungeni atamkoma!Hahahahahahah, lazima kiwepo. Si unaona vyumba vingine madirisha yake yanashuka mpaka chini.
Lazima achunguzwe!