Live: Mansour Himid , Dk Slaa na Hassan Moyo

Live: Mansour Himid , Dk Slaa na Hassan Moyo

[QUOTE=duuuh nimekukubal mzee wa sumu a.k.a joka la kibisa a.k.a MADENGE
 
nimekukubal mzee wa sumu a.k.a joka la kibisa a.k.a MADENGE..."NGUMU SANA KUONGEA POINTI WAKAT AKIL YAKO IMEJAA INYA
 
Slaa huyu huyu leo kavaa balagashia?
Ha! ha! ha! ha! kweli Madaraka yanatafutwa...
Amesahau kashfa za Chama chake kwa Wazanzibar?
 
Mansour kaka onyesha uzalendo kwa kurudisha majumba na ardhi mliochukua na shemeji yako Karume,shadya dada yako na mama Karume. na mwisho ni majenereta uliyanunua mwisho wa utawala wa Karume tupe bei halisi,nasikia ndugu zako unaowahutubia sasa ndio walimwaga mchele wa hizo kashfa na leo ndio wanakupigia makofi
unatukumbusha na hapa pangu
 
Japo nimekua naipa 5 cdm kwa kupigania utawala bora na kupambana na ufisadi nchini kwa ujasiri, sera yao ya majimbo na muungano ina ukakasi. cdm ikiingia madarakani bila shaka taifa la tanzania litasambaratika. ili kubeba kura za wanaccm asilia wanahitaji kuangalia upya sera yao ya majimbo na muungano
Kmbembwe, unahakika unaifahamu vizuri sera ya majimbo ya CDM? Laiti ungeijua vizuri usingeipinga! Hata kwa mtazamo wa jumla tu bila kuingia kwa undani, majimbo yanayozungumzwa na CDM sio katika muundo na madaraka ya mikoa tulionayo hivi sasa. Tukiita mikoa kwa lugha tuliozoea sana wengi, basi twende mbali zaidi ili kupata picha ya jimbo kwa mtazamo wa CDM, mkoa wenye mamalaka ya kiutendaji kwa maana ya serikali yenye maamuzi makubwa zaidi ya yale yalioko mikoani! Mambo mengi ya kiserikali katika jimbo husika yanaishia kule jimboni na machache sana yanahitaji kufikishwa katika serikali kuu. Hili litapunguza urasimu wa kiutendaji serikalini kama ilivyo katika mfumo wa sasa! Usiogope, tuna mikoa mingi sana Tanzania na tunaendelea kuiongeza, lakini madaraka hayashuki mikoani, kiasi ongezeko la mikoa na wilaya kuwa na 'impact' ndogo sana, zaidi ya kuwaongezea watu ulaji kwa kupata vyeo, lakini kihudama bado! Kuhusu muungano, nadhani ni udhaifu kuendelea kukumbatia mfumo usiokubalika pande zote za muungano!
 
Kutakuwa na kongamano kubwa leo la kujadili zanzibar huru katika ukumbi wa salama bwawani.
Kuna tetesi kubwa kwamba Dk Slaa atakuwepo katika kongamano hilo

mansour.jpg
807915.jpg


dk slaa akiwa zanzibar

live: MazruiMediaLive on USTREAM: We are broadcasting live from MazruiMedia Studio!. Local News

taratimu CDM wanaibadili Zenj..nasikia harufu ya machozi ya CCM na CUF zenj+ sauti za kilio cha CCM...serikali tatu inawamaliza CCM kule zenj, na waislam wa bara nao bisharaz a CCM itakuwa ngumu..haswa litakapokuja suala la uhuru wa Bakwata...toka kwa serikali.
 
Slaa huyu huyu leo kavaa balagashia?
Ha! ha! ha! ha! kweli Madaraka yanatafutwa...
Amesahau kashfa za Chama chake kwa Wazanzibar?
tuambie kashfa zipi? au unaropoka kama umekunywa viroba pori
 
Aache unafiki kuvaa kofia ili iweje sasa

tehe tehe tehe kweli maccm hayaoni kundule ustaadh Abdalah lowasa alipo vaa kanzu na kilemba na barakashee hamkuliona hilo??kunya anye kuku bata kaharsha
 
Back
Top Bottom