Nilikwishawahi kutoa tahadhari kuhusu hiyo Kampuni ya MYSOL. Wananchi kuweni makini, nunueni Sola za Sundar, SUNKING na Makampuni mengine, hao MYSOL ni MATAPELI, mnataka mpaka mnyonywe Damu?
mwenye uhitaji wa contact za Wakurugenzi Wakuu PURA(Eng.Charles Sangweni)EWURA-Eng.Modestus Lumato na TPDC Eng.Mataragio aje inbox nimpe amuombe msaada,acheni kulialia mitandaoni,connection ni kumtafuta boss moja kwa moja na kumuomba msaada wa kazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.