Recent content by kwetukijijini

  1. K

    Naomba msaada

    Uzi Wangu umefutwa viewers na replies wote Katika Jukwaa la siasa na hakuwa na kashfa yoyote, hii hutokana na nini na nani huhusika?
  2. K

    Binti wa kifaransa mwenye miaka 38 aamua kujioa mwenyewe

    Kwanini uzi wangu umefutwa na haukuwa na kashfa yoyote katika jukwaa la siasa? nani huhusika na kwanini? au nae hajulikani?
  3. K

    Prof. Mwandosya: Mkuu wa nchi akitengua uteuzi, peleka ujumbe wa shukrani

    Yupo town huyo, Songwe hata halotel haishiki, ange tweet kwa bando gan?
  4. K

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Yes, thatz why therez HEAVEN and LAND. It seems that you know that term ANALYSIS by only writing and not otherwise!
  5. K

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    I respect whatz behind yr mind, no more comment!
  6. K

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Rais yeyote anayependa luxury life huwa hathubutu wala kujihusisha na coplicated projects hata kama zinafaida kwa wananchi wake kwa sababu zitamnyima muda wa kula bata, kweye hili,, Rais Magufuli ni kama mbingu na ardhi ndio maana anathubutu. Big 5 My President!
  7. K

    Jolie hongera,wimbo ni mzuri

    Wengine kwetujijini hayafunguki, jina la wimbo please!
  8. K

    Hii ndio nyundo kwa mtumbua majipu, usanii umeshtukwa...

    Tumeumbiwa Kusahau, ila wewe mwandishi una JICHO na KALAMU ya kiuandishi. Tangu nitoke JIJINI MWANZA na kujichomeka uchochoro mmoja wilayani MAGU sijakusikia tena sauti yako niliyoizoeaga kupitia REDIO SAUT FM nikakuona ona kupitia Star Tv katika vipindi pendwa viwili wakati huo baadaye...
  9. K

    Hivi watu wa dar es salaam mkikumbwa na ukata huwa mnaishije,unatokaje kituo kimoja cha basi hadi kingine!

    Yani kila mchangiaji humu anatoka dar, Bora Magufuli dar yupo tu kikaz huwa akichoka anarudi Bushi Chato-kwetu KiJijin
  10. K

    Arusha kiboko ya Mademu wazuri Tanzania

    Arusha? Eti? Umefika Katavi ww?
  11. K

    Msaada Jamani!

    Msaada wa kisheria jamani! Ninamkopo Bayport lakini NMB wapo ridhaa kunilipia mkopo huo, chakushangaza Bayport wanagoma kunipa barua ya balance yangu kwa kunidanganya danganya mara njoo kesho lakini ni miezi miwili sasa. Nifanyaje Jamani!
Back
Top Bottom