Hakikisha mkaa unazima kwa mkojo pote kwakuukojolea huku Unaugeuza kila upande sio lazima ufukie sehemu moja kila siku fukia kila siku sehemu tofauti sio kishimo hicho hicho kila siku
Dawa ya mtu mzima kuacha kukojoa nakupa maelekezo bure kabisa, Chukua mkaa vipande vitatu vichome hakikisha vimekuwa moto kweli, 2: chukua kipande moja wapo kikiwa na moto weka kwenye kipande cha bati nakojolea hicho kipande mpaka kizimike na ukihakikisha kimezima chote kwa mkojo, chimba...
Mkuu kumbuka kuna tofauti kubwa sana kati ya akili na Elimu japo vinashabiana kwambali kiasi, hii na maanisha mtu anaweza kuwa na elimu kubwa tu lakini akawa hana akili, Akili mtu huzaliwa nayo na haihitaji darasa lakini elimu huishwa kutoka mtu mmoja hadi mwingine sasa wewe uko je uko pahala...
Marekani ina vyama saba hiki kama kitaingia nadhani kitakua cha nane lakini vyama vyenye nguvu viko viwili kwahiyo kabla hajatoa neno jitahidi kusoma kwanza
Watawala wasipotekeleza maaskofu wanauwezo wakuhamasisha waumini wao wasipige kura au Kutokukipigia chama kinachoenenda kinyume na taratibu kama CCM wanavyofanya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.