Recent content by Kwetu Tunduru

  1. Kwetu Tunduru

    JamiiForums Tanzania Vichwa vya Treni za SGR vyawekwa hadharani

    Daaah!inasikitisha Sana ila CCM hii!!
  2. Kwetu Tunduru

    JamiiForums Tanzania Wanahabari wadai kudhalilishwa na Dkt. Stergomena Tax, Waziri wa mambo ya Nje. Mobeto na Shilole wapewa nafasi za Waandishi

    Hiyo ndio dawa yenu.nyie wa kutufanya sisi hatuna akili kweli? Kwanini mligeuza ile habari ya Dr.Slaa?
  3. Kwetu Tunduru

    JamiiForums Tanzania "IGA ya DPW imetusaidia sana kujitambua. Tuna wanasheria wa Aina Gani!, Bunge na Serikali yetu, Ilipitishaje IGA Hii?

    Sijawahi kukupa like mkuu ila leo nimeitoa.kongole sana kwa bandiko hili la jumapili ya leo. Nadhani Leo umeenda kifasihi zaidi ya uandishi.shida kubwa iliyopo kwa viongozi wetu ni kuendekeza tamaa na maslahi yao binafsi ndicho kilichotokea tangu mwanzo wa mchakato wa hiyo MoU,kuja IGA na...
  4. Kwetu Tunduru

    JamiiForums Tanzania Naomba ‘connection’ niwe utingo wa gari kubwa

    Umefafanua vizuri mkuu shukrani.
  5. Kwetu Tunduru

    JamiiForums Tanzania Naomba ‘connection’ niwe utingo wa gari kubwa

    Mkuu Matola NIT pale anatakiwa dereva ambae tayari yuko competent sio anaejifunza.isitoshe,tofauti na veta hiyo ya kihonda hapo Morogoro ndio wanafundisha kiasi hizi gari kubwa ila hata hivyo nao baadae wanakutafutia mtu wa transit au unatafuta mwenyewe. Sasa kwanini Mimi nisitafute kabisa ili...
  6. Kwetu Tunduru

    JamiiForums Tanzania Naomba ‘connection’ niwe utingo wa gari kubwa

    Wakuu habari zenu, Hongereni na majukum na poleni kwa yale magumu yanayotuandama. Nimekuja kwenu wakulungwa. Kama Kuna dereva wa hizi gari kubwa, au kwa namna yoyote unahusika na hizi gari kubwa Kama msimamizi, dalali au vinginevyo, basi naomba unisaidie connection ya utingo hata Kama kutakuwa...
  7. Kwetu Tunduru

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni Ndugu zangu

    Wakuu habari!!! Natumaini tuko poa sote,na kwa wale wapitao katika magumu Basi Mungu aweke rehma zake mambo yaweze kuwa mepesi. Tuje kwenye mada,ndugu zangu Mimi ni baba wa familia ya watoto wawili na mke mmoja. Nimeamua nije kwenu nahitaji msaada maana duuh!Hali inakoelekea naona mwanga...
  8. Kwetu Tunduru

    JamiiForums Tanzania Kijana Unaetafuta kazi, Uwe unajua Kuendesha Pikipiki/Gari

    Daah!mkuu Mimi Nina ujuzi wa vyote hivyo ila changamoto yangu ni leseni na Cheti Cha udereva.ila kuride na kudrive niko njema zaidi ya miaka 6 sasa.
  9. Kwetu Tunduru

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu RAZABA

    Ni dhahiri mzee mchonga nae alikuwa sehemu ya tatizo katika nchi hii.
  10. Kwetu Tunduru

    JamiiForums Tanzania Naapa Haki ya Mungu Yanga anaenda kuwatoa hawa Waarabu nyumbani kwao

    We jamaa acha ujinga!!fwala kabaisa
  11. Kwetu Tunduru

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu wa CCM Daniel Chongolo aitetemesha na kuiteka Iringa. Atoa maagizo mazito

    Hivi maana ya ZWAZWA Ni ipi wakuu??
  12. Kwetu Tunduru

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kudeal na Mpangaji msumbufu

    [emoji28][emoji28]
  13. Kwetu Tunduru

    JamiiForums Tanzania Hamis Kigwangalla inakuwaje unashindwa kudhibiti hasira zako? Ona sasa umepatwa na janga

    Kaka nakutafuta Pm ila naambiwa siwezi anzisha mazungumzo nawe
  14. Kwetu Tunduru

    JamiiForums Tanzania NHIF na hasara ya zaidi ya Bilioni 204 ndani ya mwaka mmoja tu

    Nitashukuru kaka
  15. Kwetu Tunduru

    JamiiForums Tanzania NHIF na hasara ya zaidi ya Bilioni 204 ndani ya mwaka mmoja tu

    Kaka mkubwa kwema?Nina mazungumzo kidogo nawe nashindwa namna ya kuja Pm yako.
Back
Top Bottom