Recent content by Kwelitupu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Yanga katika vita kubwa Kombe la Shirikisho leo

    Sasa Yanga isubiri kulipiza kisasi kwa JKT Ruvu na Toto
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kombe la Shirikisho: Medeama yaifunga Yanga 3-1 hatua ya makundi

    Kwa kweli Yanga inatuaibisha sana Wa TZ. Haya mashindano mwakati wamwachie mwenyewe Mikia
  3. K

    JamiiForums Tanzania Sam Mahela tena... Hivi ITV management hamyaoni haya?

    Ni kweli Sam Mahela ana bore sana uendeshaji wa dakika 45. Ni kama anakuwa na misimamo yake na maelezo yake kichwani halafu wakati muhojiwa anatoa ufafanuzi huwa anamkatisha na kuchomeka ya kwake. INAKUWA KAMA MAZUNGUMZO TU NA SI MAHOJIANO. Halafu maswali yake mengine ni maswali yenye majibu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nitahamishia Serikali yangu Dodoma - Waziri Mkuu aanzisha safari..

    Binafsi sikubaliani na maamuzi hayo ya kuhamia Dodoma, esp. anapokuja PM na kusema kishabiki kuwa yeye atahama mwezi wa 9 na kuwataka mawaziri wamfuate. Kuna haja ya kuangalia economic sense ya jambo hili. - Serikali ni mpya na hata haijamaliza mwaka inaanza mradi mwingine mzito wa kuhamia...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa anazidi kuwa mkiwa ndani ya CHADEMA!

    Umesema kweli ndugu, yaani Mbowe anaona aibu jinsi gani ya kumtema ili chadema iwe huru. Na si Lowasa tu bali ni pamoja na genge alilokuja nalo kutoka ccm. Na ikiwa hivyo chadema itazaliwa upya na Mbowe itabidi naye angolewe uenyekiti.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kama CCM itamrudisha Kinana, mapungufu ya Mashinji sasa kuonekana dhahiri

    Tatizo lingine la Katibu mkuu CDM ni kuwa hana mamlaka kamili inayoendana na cheo chake au hajiamini. Hii ni kwa sababu wako watu pale makao makuu wanaojiona wao ni cdm zaidi hivyo hawawezi kumsikiliza hao ni kama Mnyika, Lissu, Kubenea, Mwita Waitara, Halima Mdee, n.k. Na unakuta Mbowe anaongea...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Mbowe akiongoza kikao Kamati Kuu

    Lowassa mbona havai gwanda? Au bado anaamini kuwa mabilioni yake aliyoyatoa yamenunua kabisa majority share za Chadema? Makamanda hii tuikatae, aturudishie chama chetu. Hasije akadhani pia kuwa yeye ndie mgombea wetu 2020.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Mgana Msindai atangaza kurejea rasmi CCM

    Msindai na Mpendazoe kurudi CCM si pigo kwa Chadema kwa maana ya kuwa wameacha pendo la uhanaharakati. ILA NI PIGO KWA MAANA KUWA hii inadhihirisha udhaifu mkubwa katika uongozi wa cdm na pia inadhoofisha na kudhalilisha taswira ya chama kwa jamii ya watanzania. Mbowe alifanya makosa makubwa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Kikwete na wafanyabiashara

    JPM yuko sahihi kabisa: (1) Ukwepaji kodi bandarini ulikuwa widespread, na naamini majority yake unahusisha vimemo vya ikulu, na wakubwa wa serikali iliyopita. Sasa kwa kuwa ndio ameingia madarakani, si sawa kuanza tu unafungafunga wafanyabiashara wakubwa wengi hivyo, lazima uwape 'breathing...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwa kasi hii ya Magufuli, Lowassa anapoteza pesa zake na CHADEMA, CHADEMA wanapoteza muda na Lowassa

    Haaaaha..... JF mna maneno kweli, hadi raha..!!!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria, ongoza kwa 'presidential decrees'!

    Naona Pasco ni mojawapo wa majipu yanayoanza kutumbuliwa, tulia tu hadi usaha wote utoke. Kuhusu hela za makampuni kwa tafrija ya bunge, baada tu ya kutoa hela hizo zilikuwa mali ya Serikali kupitia Bunge, na Raisi ni accounting officer no.1 wa pesa yote ya serikali, kwa hiyo alikuwa na mamlaka...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumeweka record mpya

    Maoni yangu: 1. Kwanza refa alituuma sana, kwa kutoa kadi ovyo na ku-call fouls ambazo hazina kichwa wala miguu. Inawezekana alishalambishwa. Mfano, binafsi zile penalti mbili si halali kabisa; ya kwanza mlinzi wa stars alichezewa vibaya kabla ya yule wa algeria hajazongwa na 'kuangukia'...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Nchimbi, the beginning of an end

    ILibidi apinge hadharani ili kumwonyesha Lowassa kuwa mafungu aliyopewa na ahadi za uwaziri mkuu anazitendea kazi. Vilevile alitegemea kuwa wangeweka shinikizo kubwa NEC ili jina la Lowassa lirudi n andipo angeibuka shujaa wa Lowassa. Ila ndio hivyo kushindana na CCm ni sawa nakupiga ngumi ukuta!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wenye matatizo haya sasa wanaweza kupata tiba kwa gharama nafuu sana

    Dozi yako ya nguvu za kiume ni ya mda gani na unatoa guarantee gani? Maana Hays Hays madawa utapeli mwingi mno!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa ampigia Saluti Rais Magufuli!

    Were ungekuwa na IQ kubwa ungebaki TZ na kutendea kazi fursa kibao zilizopo kama sisi. Lakini IQ yako ndogo ndio maana umeishia kukimbilia ulaya kubeba mabox na kuogesha vikongwe.
Back
Top Bottom