Dr. Nchimbi, the beginning of an end

Dr. Nchimbi, the beginning of an end

Wewe ulioanzisha hii mada, unataka kumfananisha na nani Nchimbi?
 
Ndani ya CCM ukienda kinyume na matakwa yao umekwisha hata kama unasimama katika ukweli, huo ni mwazo tu kwake wa machungu kwa kupingana na maamuzi ya wakubwa wake. Na bado kwa wengine akina Sofia. Tofauti yake na sofia ni kwamba Sofia ni mwanamke, hivyo hata treatment zao zitakuwa tofauti.

Bora hata hao hawakufukuzi ila vyama wengine ukipingana na matakwa yao hufukuzwa na kukuchafua.
 
Exactly!na kupinga kutokana na kuwa mtu wako amekatwa....yeye na Sofia Simba hakuna namba wataacha kuisoma

ILibidi apinge hadharani ili kumwonyesha Lowassa kuwa mafungu aliyopewa na ahadi za uwaziri mkuu anazitendea kazi. Vilevile alitegemea kuwa wangeweka shinikizo kubwa NEC ili jina la Lowassa lirudi n andipo angeibuka shujaa wa Lowassa. Ila ndio hivyo kushindana na CCm ni sawa nakupiga ngumi ukuta!
 
Back
Top Bottom