Mgonjwa ampigia Saluti Rais Magufuli!

Mgonjwa ampigia Saluti Rais Magufuli!

Tuachieni Rais wetu Acheni ushabiki wa kiteja tumieni akili mtu ana wiki moja madarakani mnajifanya mnamjua sana mmezoea kudanganywa basi hata penye ukweli kazi kulalama mfyuuuuuu
 
That's a very easy move even a kindergarten girl if chosen to be president of this country blessed adamantly with low IQ citizens can perform such circus.

Tumechoka na mbwembwe za uigizaji. Mmefyeka na kukomba hela kwenye hazina ambazo hizo hizo zingenunuliwa vitanda na T scan. Mabilion ya walipa kodi yametumika kwenye kampen yako. Bongo baaadoooooooooo yani badooo. Ila uzuri wa bongo ukiwa kiongoz ni rahis sana kutawala nakuwawin watu kisaikolojia kwa mambo madogo madogo amayo hata joti mpoki mchiz mox na kingwendu wakipewa urais wanaweza tu kufanya.

Si tupo hapa JF hamna madiliko yeyote yatakuwepo. Umaamuma wetu uliokubuhu utatuponza milele

Were ungekuwa na IQ kubwa ungebaki TZ na kutendea kazi fursa kibao zilizopo kama sisi. Lakini IQ yako ndogo ndio maana umeishia kukimbilia ulaya kubeba mabox na kuogesha vikongwe.
 
Na mimi natafuta mchongo kama huo jamani wadau wa JF. Msaada tafadhali.
 
That's a very easy move even a kindergarten girl if chosen to be president of this country blessed adamantly with low IQ citizens can perform such circus.

Tumechoka na mbwembwe za uigizaji.Mmefyeka na kukomba hela kwenye hazina[/RED] ambazo hizo hizo zingenunuliwa vitanda na T scan. Mabilion ya walipa kodi yametumika kwenye kampen yako. Bongo baaadoooooooooo yani badooo. Ila uzuri wa bongo ukiwa kiongoz ni rahis sana kutawala nakuwawin watu kisaikolojia kwa mambo madogo madogo amayo hata joti mpoki mchiz mox na kingwendu wakipewa urais wanaweza tu kufanya.

Si tupo hapa JF hamna madiliko yeyote yatakuwepo. Umaamuma wetu uliokubuhu utatuponza milele
Hili jarida la Udaku la Mwanahalisi lina athari kubwa sana aisee.Hivi mamvi alikuwa kakuahidi kitu gani Mkuu,yaani mmenyang'anywa tonge mdomoni wewe na Pasco??
 
Last edited by a moderator:
Sitapiga kura tena. Uchaguzi bongo ni kama maigizo. Tawaleni! Tawaleni! Tawaleni!hadi mwisho. Bora mbaki madarakani na klindana milele na msihitishe uchaguz kwasababu mnateketeza hela ya walipa kodi

Jipoze na hii mkuu
 
Attachments

  • 1447253617862.jpg
    1447253617862.jpg
    23.7 KB · Views: 208
Det er sandt, hvad du siger. Kuna malimbukeni wengi humu, na huyu anayejiita Copenhagen DN ni mmoja wao. Halafu Danmark ni Dk na sio DN kama huyu limbukeni anavyotaka kutudanganya.

Nilishampuuza kitambo huyo mtumwa.
 
Dah bongo bana ukiandika kiingereza povu linawatoka mimi kuweka Copenhagen dn id yangu kuna watu humu wanakosa amani kabisa. Narudia si tupo humu jf hakuna chochote kitabadilika kutoka ccm ya magufuli.
 
That's a very easy move even a kindergarten girl if chosen to be president of this country blessed adamantly with low IQ citizens can perform such circus.

Tumechoka na mbwembwe za uigizaji. Mmefyeka na kukomba hela kwenye hazina ambazo hizo hizo zingenunuliwa vitanda na T scan. Mabilion ya walipa kodi yametumika kwenye kampen yako. Bongo baaadoooooooooo yani badooo. Ila uzuri wa bongo ukiwa kiongoz ni rahis sana kutawala nakuwawin watu kisaikolojia kwa mambo madogo madogo amayo hata joti mpoki mchiz mox na kingwendu wakipewa urais wanaweza tu kufanya.

Si tupo hapa JF hamna madiliko yeyote yatakuwepo. Umaamuma wetu uliokubuhu utatuponza milele

Were ungekuwa na IQ kubwa ungebaki TZ na kutendea kazi fursa kibao zilizopo kama sisi. Lakini IQ yako ndogo ndio maana umeishia kukimbilia ulaya kubeba mabox na kuogesha vikongwe.
 
Dah bongo bana ukiandika kiingereza povu linawatoka mimi kuweka Copenhagen dn id yangu kuna watu humu wanakosa amani kabisa. Narudia si tupo humu jf hakuna chochote kitabadilika kutoka ccm ya magufuli.
So unashauri TUFANYEJE? Tupande meli tuje Denmark kuosha mavi vikongwe? Watu kama wewe ndo mnafanya diaspora nzima inadharaulika. Wewe si una exposure huko. Sasa unapoongea kama mmbea wa Kariakoo tukueleweje? Kulalamika tu kutasaidia nini? Exposure yako ya Denmark imekusaidia nini? Hopeless kabisa!
 
Magufuli hili jambo la safari za ulaya mbona amelishikilia bango..???

Wanaolipa kodi ndiyo hao hapo sakafuni, wanaokusanya kodi ndiyo wana fly kwenda kutibiwa nje - there is no correlation hata kidogo
 
Magufuli hili jambo la safari za ulaya mbona amelishikilia bango..???

Nadhani anamsema mtangulizi wake aliyekuwa anataka kushindana na Marubani kwa masaa mengi angani.
 
Back
Top Bottom