Recent content by kweleakwelea

  1. kweleakwelea

    JamiiForums Tanzania Picha: Sijawahi Kuona Mgombea Urais Mwenye Upendo Kama Dkt. Samia Suluhu Hassan

    Shida wanaongelea ubwabwa. Wanyanganywe na hayo magari
  2. kweleakwelea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu aliwahi kubakwa akiwa binti Leo ananieleza hajawahi kuwa na hisia ya mapenzi maisha yake Yote naombeni ushauri

    Topic nzito sana hii. Kuishi na mke mwenye trauma ninchangamoto sana sana sana sana.... Kama ni Mwanaume wa mke mmoja unaweza kupata hata kichaaa. Ukiwa unachepuka chepuka unaweza kidogo kusurvive. Trauma inatibika. Though ni very ezpensive. Changamoto ninayoiona kwenye kesi ya huyu bwana ni...
  3. kweleakwelea

    JamiiForums Tanzania Msikilize Mo Ibrahim anavyoshangaa Tanzania kuwa na utawala wa kidictator kuwatesa wapinzani, kitu ambacho anasema hakutegemea kutoka Tanzania

    Ningemheshimu zaidi huyu bwana kama angejikita kutatua migogoro ya kwake sudan na kule kongo. Eritrea, pia ethiopia? Kwanini wanavishambulia vinchi vinavyojitahidi kuweka mazingira bora kwa wengi at the expense ya wachache? Wao kwanini wanakimbilia kutengeneza mazingira mazuri kwa wachache at...
  4. kweleakwelea

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boniface Mwangi afunguka mateso ya kikatili aliyofanyiwa Tanzania, adai ''Tuliambiwa tuvue nguo, tutambae na tuoshe damu''

    All in all, pole kwa mwangwi. but inawezekanaje mtu kuvuka mpaka wa nchi yake aende nchi jirani kufanya siasa?
  5. kweleakwelea

    JamiiForums Tanzania Ninunue gari ipi Mazda CX-5, Forester, Mitsubishi outlander,xtrail new moder

    ractis nyingi zina changamoto ya gear box
  6. kweleakwelea

    JamiiForums Tanzania Wale wa Kibaha Sec School tujikumbushe

    WENGI NI WATU WAZITO SANA nchi hii, nawakumbuka kina Arthur Lyatuu, kina Pius Macha, ....kina Jacob Mtui alikimbizana sana na kile kichwa cha kihindi Salim Ghulam japo Salim alikuwa anawasha taa mbaya sana ile batch ya kina Kamgisha Kazaura ilichangamsha sana kambi na hasa kule kwenye basket...
  7. kweleakwelea

    JamiiForums Tanzania Wale wa Kibaha Sec School tujikumbushe

    ni KAKUNI = KAZI + KUSOMA + NIDHAMU
  8. kweleakwelea

    JamiiForums Tanzania Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

    Una ushahid kama kauwawa?
  9. kweleakwelea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumtambua mwanamke bikra kwa kumuangalia tu

    Dah jamaa yuko sahihi mnooo...
  10. kweleakwelea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia za mwanamke wa kigogo

    Kwa tabia hizi zilozotajwa nadhan hawa waliozaliwa changanyikeni wanaweza kuwa bora...maana kiukweli hawezi kukutoa roho sababu ya mali. Tofaut na makabila mengine
  11. kweleakwelea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fahamu namna ya kuishi na mpenzi anayependa fedha

    Kwa kweli ni ajabu sana. Siku hizi mwanamke na mna mawazo ya kuishi pamoja bila kuchelewa atakuambia nijazie gari mafuta tukatembee, kidogo atasema tairi zimeisha. Mpaka najiuliza hivi hawa watu wana akili kweli? Sababu inapoelekea mwanamke kama huyu ni kumwacha tu. Sijui ni makuzi mabaya? Au...
  12. kweleakwelea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tupeane tips na uzoefu wa kukutana mitandaoni. Online Dating

    hukujuwa tu. huyu mpaka amekuja kutafuta dating online inawezekana kabisa ana uzuri wake wa ndani ambao ndio ulikutana nao akaweza kufunguka tofauti wa yale ya barabarani
  13. kweleakwelea

    JamiiForums Tanzania Binadamu hana jipya hapa duniani zaidi ya kuwa ni mfugo unaosubiri kuliwa tu

    Mmimi huamini binadamu ni mazao. Sisi ni malighafi lwa kazi fulani za Mungu. Alitupanda anajuwa kazi yetu. Inawezekana waliotuumba wako kwenye visayari wanakuja kututembelea na vile vispaceship
  14. kweleakwelea

    JamiiForums Tanzania Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

    Dunia ni pana sana
Back
Top Bottom