Tabia za mwanamke wa kigogo

Tabia za mwanamke wa kigogo

1. Wavivu
2. Wachafu
3. Wachoyo (hapa ndugu zako lazima wakutenge kutokana na mwanamke huyo)
4. Wanaridhika na kitu kidogo sana. Akipata 20k leo mpaka iishe ndio aanze kutafuta.

Huo ni uhakika.
No 4 yes
 
1. Wavivu
2. Wachafu
3. Wachoyo (hapa ndugu zako lazima wakutenge kutokana na mwanamke huyo)
4. Wanaridhika na kitu kidogo sana. Akipata 20k leo mpaka iishe ndio aanze kutafuta.

Huo ni uhakika.
No 1 yes
 
Hawajipendi,wavumilivu akipenda kapenda hata umfanyie vituko gani usifikiri ataingia mitini labda uamue kumfukuza,ila kusaliti sio wagumu anaweza kuwachanganya marafiki zako na usijue na hii ni kuwa wako loyal mpaka huwezi mdhania,wanyenyekevu,wagumu akiamua kufanya shughuli inayoleta maendeleo huwa hawakati tamaa hasa kwenye biashara,kilimo au ufugaji,pia wanapenda pombe...
Siyo wavumilivu hata kidogo, hawana aibu yoyote kwa swala la kuomba
 
Mkuu kama unampango huo sijui unaoa familia ipi maana zinatofautiana but generally;

1. Walalamikaji sana
2. Kila jambo wanaona wanaonewa
3. Wanapenda kuleta ndugu zao walipoolewa
4. Bwana yesu asifiwe zimejaa midomoni mwao but hua hawamaanishi hivyo
5. Wanapenda fair sana so uwe makini
 
Advance tulikuwa tunawaita Zakayo sjui kama ntakuwa nimeapatia

Oyaa embu nikumbushine Yule aliekuwaga ombaomba famous kweny story za bible alikuwa anaitwa Nani
 
1. Wavivu
2. Wachafu
3. Wachoyo (hapa ndugu zako lazima wakutenge kutokana na mwanamke huyo)
4. Wanaridhika na kitu kidogo sana. Akipata 20k leo mpaka iishe ndio aanze kutafuta.

Huo ni uhakika.
Wewe unawajua hiyo No.3 ipo katika damu nadhani wanafundishwa au wanaiga kutoka Kwa wazazi wao, halafu waroho, wanapenda kupewa kweli, yaani ukioa utashangaa huna ndugu kumbe wanachofanyiwa hawawezi kukuambia, pia ukigombana naye siku ya pili au ya tatu lazima akuage anakwenda kijijini kwao akirudi huna ujanja tena jibu lako kwake ni ndio. Atakuwa mcheshi mdomoni si moyoni
 
Sawa kabisa. Nimeishi nao sana nawafahamu.
 
Kwa tabia hizi zilozotajwa nadhan hawa waliozaliwa changanyikeni wanaweza kuwa bora...maana kiukweli hawezi kukutoa roho sababu ya mali. Tofaut na makabila mengine
 
Ila Wana maumbo mazuri sana sema nyingine zilizosemwa ni kweli ila sio wote muangalie vizuri ulie nae Kisha fanya maamuzi
 
Wana viburi vya kujificha lakini pia muda wote wanaamini wanaonewa na pia ni wagumu kugundua makosa yao hata kidogo.
 
Back
Top Bottom