Recent content by kwediboma

  1. K

    Bodi ya Mikopo kufanya msako nchi nzima kwa waajiri sugu wasiowasilisha makato na majina ya wadaiwa

    Hivi hivi vitisho vinatoka wapi? Unaniitaje mdaiwa sugu wakati hujanidai hata cku moja? Show me any demand note ya kudai loan yao. Hivi hao wahasibu au taratibu wao upo tokea 1994 unamdai mtu hadi sasa haufuti tu deni tena eti unazidi kuliongezea kwa penalty. Unaniadhibu kwa makosa gani...
  2. K

    Kwanini Ndege(Roketi/Contrail) huacha mstari wa Moshi Mweupe?

    Ule kweli sio moshi kabisa , kama ingekuwa moshi basi hiyo ndege au kama ulivyoita ingekuwa haifai kabisa ninavyofahamu kutoka kwa wataalam wa anga wanasema: chombo kile kipo juu sana na kule kuna baridi sana kwahiyo kwakuwa chombo kile kinaproduce joto bac ile inakuwa ule ubaridi mkali kama...
  3. K

    Wanajamvi na jamii jihadharini na Total-Korogwe

    Upo sahihi kabisa. Yalinikuta mimi pia hapo (Total - Korogwe Tanga) kama cku 12 zilizopita nikawawakia sana kwa takwimu tukaliweka sawa na hasa baada ya kuwaambia mie nipo tayari kwa lolote na safari inaishia hapa iteni vyombo vyote vinavyohusika na mafuta. Wakakubaliana na data zangu...
  4. K

    Bro Mchechu wa NHC, Majumba unayojenga una uhakika utapata wateja?

    Wabongo ni noma! Sasa wewe ulitaka afanye vipi? Ukifanya vizuri shida ukifanya vibaya matusi. Inaonyesha hata shukrani hamna . Jaribu kupongeza mahali panapostahili kutoa pongezi, usibakie kila cku kulalama tu.
  5. K

    Hemarrhoids..uvimbe katika sehemu ya haja kubwa na kutoa damu

    Google, kwa neno hilo au ' bawasili' hilo utapata majibu mengi na nihakika fuata tu maelekezo na tumia dawa hiyo .utapona hii ni kwakuwa nilishaona mtu rafiki mwenye tatizo kama hilo tukagoogle na kufuata malekezo sasa hali inaendelea vema kwa jinsi ninavyoandika sasa.
  6. K

    Mwanafunzi wa IFM akamatwa kwa ku-hack Namba ya AY

    Nadhani kijana yupo vizuri sana . Ameamua kufanya hivyo kuliko kuwa Panya road!
  7. K

    Tusiwalaumu prof. Muhongo na Maswi sio makosa yao!

    Kwanini report ya CAG kwenye magazeti na isiwe pia na ya TAKUKURU . Kwanini iwe ya ESCROW tu na isiwe na ya TOKOMEZA! , EPA , RICHMOND na zinginezo pia ????.
  8. K

    SAKATA LA ESCROW: Ole Naiko ajitetea Hakujua kama amewekewa Mamillioni

    Kama ni kweli basi azipeleke zote Dogodogo center zikasaidia wale watoto.
  9. K

    SAKATA LA ESCROW: Ole Naiko ajitetea Hakujua kama amewekewa Mamillioni

    Kwa position aliyokuwa nayo ninaweza kuamini anachosema maana atakuwa amewekewa nyingi sana wa wawekazji wengi. Ukiangalia mgao ulivyo mara moja utapata hisia tofauti na mojawapo ni kuwa wengi walikuwa "wawezashaji" na hata haikuwa moja kwa moja lakini upo katika kundi ambalo linaweza kumsaidia...
  10. K

    Hivi mgao huu wa umeme ni kwa Tabata pekee?

    Mnashangaa nini kama waziri anaitwa Muongo unategemea nini kitatokea au kuendelea.
  11. K

    Apson Mwang'onda sasa ahamishia vikao vya Lowassa kwa mwanae Jimmy Mbezi Beach

    Kuna mambo mengine yanayoandikwa katika hili tokea ila story ya mwanzo yanonyesha ni jinsi gani mtoa mada alivyo na kiwango fivyu cha kufikiri. Haiingii akili watu wenye akili zao kufanya strategy za vikao kama inavyoainishwa hapo. Habari hizi ni za watu waliozoea kutunga insha shuleni. Hao...
  12. K

    Leticia Nyerere, John Shibuda (CHADEMA) wajisajili katika Bunge Maalum la Katiba

    Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni!
  13. K

    Road licence Kufutwa

    Kitu cha msingi hapa nikujiuliza swali moja kuwa lengo la kodi hiyo nini pamoja na penalt juu?? Somo kidogo kwa mguu wa nchemba kama anausongo na mapato haya abadilishe utaratibu kama zamani tozo hili lilikuwa kwenye mafuta. Ninaamini kodi hii ikithibitiwa vizuri sana kwenye mafuta mapato hayo...
  14. K

    Karume amtembelea Mansour kituo cha Polisi

    Hakuna issue yeyote hapo ni siasa za bongo tu za kuchonga bila standard. Jamaa ana vibali vyote sidhani anaweza kuwa mjinga kiasi hicho , tatizo hapo ni idadi ya risasi za bastola , kwa gobore lake hilo huwa zinatolewa kwa minajili ya kilimo kulinda mazao shambani na wanyama wahalibifu hiyo...
Back
Top Bottom