Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,381
- 30,359
Hatuwapendi tu kwa sura zao!Kwani makosa ya Muhongo na maswi ni yepi?
Wanamuwekea kiwingu Profesa JK!
JIDUZZ
Hatuwapendi tu kwa sura zao!Kwani makosa ya Muhongo na maswi ni yepi?
Muhongo ni jembe langu la mwaka 2014
Tunapaswa tujiulize mara mia mia iweje leo hii ikulu itoe agizo la kusema ripoti ya CAG ichapwe ktk magazeti yote na hasa yale yanayosomwa na watanznia wengi hii ina maana ichapwe hadi kwenye kiu, ijumaa weekend, risas maana ndyo yanayosomwa na wengi pia hukumu inatoka katika makundi mawili moja, kimaadili mbili jinai,,, sasa hapo ndiyo mpambanue nani achinjwe kimaadili na nani kijinai?
Naona bado unabwanwaja tu. hakika bawacha mnaishiwa hoja kweli
Kwani makosa ya Muhongo na maswi ni yepi?
Wasalaam Wakuu! Tulisha Ongea Mengi Sana, Tukatoa Maoni, Tukalumbana Sana Ktk Media Mbalimbali Juu Ya Hawa Jamaa! Hatukuweza Kufikiria Kitu Kimoja, Kama Kuna Watu Wanayajua Haya Basi Wameyasemea Kwa Mbali Sana.Ivi Hatambui Kua Hawa Viongozi Sio Wanasiasa? Hawa Ni Wateule Wa Raisi Tu.
Hakuna Alieko Pale Kwa Kura Za Wananchi Wa Jimbo Flani, Hapa Sijamtaja Mh Pro Jibaijuka Na Wanasia Wengine, Make Wengi Wao Inawezekana Wanaangalia Upepo Kwa Wale Wateule Utampitia Nani Ili Nao Wajue Cha Kufanya.
Kama Tutakumbuka Hawa Wateule Kuna Kipindi Waliwahi Kutamka Kua Wao Sio Wanasiasa,ati Wao Ni Ni Wapiga Kazi Tuu Hawataki Porojo.
Nafikiri Hili Ndilo Tatiza La Wao Kutoona Umuhim Wa Kuwajibika, Nimetaja Watu Wawili Jakini Ieleweke Pia Hata AG Werema Pia Yumo Ktk Kundi La Wateule Hawa.
Kama Ni Kiburi Chao Kama Weng Wanavyodai Basi Huenda Chanzo Ni Hapa! Anyway Tuiachie Mikono Ya Wateule Iamue, Lakini Pia Tuzingatie Kua Hili Ni Jambo Senstive Sana Ktk Jamii Mpaka Hata Wahisani Bado Wako Atention Nalo.
Mimi Nawasilisha Tu.