Mwanafunzi wa IFM akamatwa kwa ku-hack Namba ya AY

Mwanafunzi wa IFM akamatwa kwa ku-hack Namba ya AY

pongezi kwake ningekuwa mimi ningehack ya rugemalira na chenge.

Hapo hapo angepata na na tenda toka Usalama wa Taifa na PCCB kutokana na uzoefu wake, tatizo dogo kafanya yote ukute katumia moderm na computer yake kwanini wasimkate, (hapa funzo ni kama mtu umjui usimpe mtu laptop yako maana kuna wengine wanaweza wakaitumia vibaya kama huyu dogo maana kuna zile airport au sehemu zingine mtu anakuambia samahani natuma kakitu kadogo ofisini)
 
Angejaribu na kufanikiwa kupenya kwenye mfumo wa Stanbic benki na kupata majina ya waliofichwa kutolewa hadharani, wachotaji wa pesa za Escrow angenufaika sana.
 
sure mkuu mimi hata simu yangu simpi mtu. Juzi kati natoka moro to dar kwenye bus kuna mshikaji nilimpa afungue app ya livescore... bwanaaa alipoenda kafungua hadi app yangu ya jf.!
 
Safi sana Ahmed nakukubali, kazi nzuri sana. Tunahitaji vijana kama nyinyi milioni moja.
 
Naona kama Neno "hack" limetumika vibaya. Huyu alicho Fanya ni kusajili line za Simu kwa kutumia majina ya watu maarufu,kwahiyo kimsingi hajafanya penetration ya kwenye system. Hii huwezi kuiita hacking maana hakuna mfumo ambao ulioingiliwa kwa kutumia udhaifu wa usalama wa mfumo.
 
Nadhani kijana yupo vizuri sana . Ameamua kufanya hivyo kuliko kuwa Panya road!
 
sure mkuu mimi hata simu yangu simpi mtu. Juzi kati natoka moro to dar kwenye bus kuna mshikaji nilimpa afungue app ya livescore... bwanaaa alipoenda kafungua hadi app yangu ya jf.!

Kwa hiyo kajua username yako...anakuchora tu saa hizi???
 
AY msamehe tu huyo kijana maisha ndio yamemfikisha hapo,tusijaze tu magereza na kutmia kodi yetu kwa watu kama huyu kijana mdogo,inatia huruma yote hayo yantokana na mifano mibaya ya viongozi wetu kukubuhu katika kupiga madili ya mabilioni,vijana huiga tabia za hao mafisadi ambao ndio walitakiwa wao kioo kwa jamii,na sasa sisi ndio tunawatukuza ,ndipo tulipofikia tunawatukuza mafisadi/wezi na kuwapigia makofi huku tukiwaona mashujaa hadi tunataka tuwape uraisi,na huyu kijana kaona uwizi utapeli unalipa.Huko kupigwa picha tu ni adhabu tosha natumaini AY atukuwa na moyo wa huruma amsamehe huyo mdogo wake,hakuna atakachopoteza,jela sio nzuri .
 
Naona kama Neno "hack" limetumika vibaya. Huyu alicho Fanya ni kusajili line za Simu kwa kutumia majina ya watu maarufu,kwahiyo kimsingi hajafanya penetration ya kwenye system. Hii huwezi kuiita hacking maana hakuna mfumo ambao ulioingiliwa kwa kutumia udhaifu wa usalama wa mfumo.

He is Overrated!!
 
Angejaribu na kufanikiwa kupenya kwenye mfumo wa Stanbic benki na kupata majina ya waliofichwa kutolewa hadharani, wachotaji wa pesa za Escrow angenufaika sana.

Na pia ikulu ya JK pale magogoni angechukua orodha ya watu wanaojihusisha na uuzaji wa madawa ya kulevya..
 
Dogo yule tumesoma nae shule moja inaitwa Mudio islamic tena ya kiislam na alikua mtu wa matukio sana. Utetezi wake sikuupata vizuri ila tuwaachie vyombo vya dola vifanye kazi yake. Wakati yupo shule aliwahi kupelekwa ofisi ya nidhamu kwa kukutwa akichungulia wasichana sasa kataka kuchungulia umaarufu wa AY na Fid Q dogo anaelekea pabaya.

Asiyefunzwa na mamaye hufunwa na ulimwengu!
 
watu naona hili swala halipo sawa kwao.. Na Ay anatumia vibaya neno hack.. Huyu dogo alichofanya ni kublock namba ya Ay wakati ikiwa haipo hewani, na yeye kui'retain kwa kusajili kama yake.. Na hili nimemsikia Ay akisema namba yake haikuwa hewani anashangaa watu wanampigia simu kwenye namba nyingine kuulizia kuhusu shida anayoombea mkwanja.. So tusiende resi hamna hacking hapo.. Labda kama kam'tag au kam'poke..
 
Na pia ikulu ya JK pale magogoni angechukua orodha ya watu wanaojihusisha na uuzaji wa madawa ya kulevya..

Kabisa. Lakini tunapoteza muda na ujuzi wetu kuhangaika na watu wa kawaida sana wenye taarifa za kawaida sana.
 
Huyu haja -hack, ila amesajili/amerudisha namba ya simu kwa jina la Ay, na nyuma yake lazima kuna mfanyakazi wa mtandao husika ama kwa kujua au uzembe wa kufuatilia, lakini kamwe haiwezekani kufanyia mtaani!
 
Back
Top Bottom