Unakusudia kufikisha ujumbe gani kwa uzi huu? Hata hivyo, fikiria kwanza kuhariri uandishi wako pengine utaeleweka zaidi:
1. Hasara za kutochaguwa ...... ambaye ana ....
2. Hasara za kuchaguwa.... ambaye hana
Kweli tupu, ingawa utaambiwa unadhihaki. Siku waAfrika tutakapoamka na kujitambuwa ndiyo utakuwa mwanzo wa safari yetu ya kuendelea kama watu. Mpaka sasa, kwa utumwa huu wa fikra, acha tubishane tu nani ni "mRoma" au mKatoliki zaidi ya mwingine. Msiba mkuu huu!!
Iwapo kuna wanaloweza kujifunza vijana kutokana na hili suala la Makonda/Bashite/Paulo/Daudi, ni:
1. Usitumie majina / vyeti visivyo vyako kujipatia ajira au kujinufaisha kwa namna yoyote.
2. Unaposhutumiwa, jibu shutuma husika kwa vielelezo na si kulialia kwenye nyumba za ibada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.