Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
mwanafunzi aliesoma English medium wazazi wake wana uwezo wa kumsomesha apewe mkopo wa nini?Kama mikopo inatolewa kwa wanafunzi waliosoma shule za Kata tu unategemea kuna viwanda hapo
Kwani viwanda vya IPP na vinginevyo saa hizi vinaendeshwaje ! Mzee Mengi usijiunge na kampeni ya umbea dhidi ya JPM !Ndio maana Lowassa na UKAWA walikuwa wakisema Elimu, Elimu, Elimu.....
Tanzania ya Viwanda ni hadithi za kusadikika zilizotungwa kule Chato na kuja kuchapichwa pale Lumumba na mwisho zikaletwa kwa watanzania ili waziimbe kama chorus tu.
Wanadhani ni kukimbizana na wapinzani ndo maendeleo,Uchina baada ya kupata tu uhuru walipeleka vijana wao kusomea uandisi mataifa makubwa yalokuwa yameendelea kwa wakati huo mf UK,na baada ya miaka kumi wakarudi wote nchini mwao na kuanzisha viwanda vya kutengeneza vyuma na baada ya hapo Uchina ikaanza kujongea kimaendeleo.Had mda huu haikamatiki.
Ila sisi wabongo tumekalia umbea,chuki ,uvivu na visasi na kamwe maedeleo ni ndoto kama hatutabadilika.
Ndio maana Lowassa na UKAWA walikuwa wakisema Elimu, Elimu, Elimu.....
MTanzania ya Viwanda ni hadithi za kusadikika zilizotungwa kule Chato na kuja kuchapichwa pale Lumumba na mwisho zikaletwa kwa watanzania ili waziimbe kama chorus tu.
Hahaaha huyo ndiyo alikuwa anataka vijana walohitimu diploma wasipate kudahiliwa na vyuo vikuu hadi wapitie form five na six.Waziri wa elimu kazi imemshinda, nashangaa hajatumbuliwa hadi sasa. Yaani hakuna positive hata moja toka aingie, kuna negatives tu zinaongezeka.