Uwezi ukaanzisha jambo lolote ukiwa unaongozwa na akili za kupanic ukafanikiwa.
Kazi za shamba na ufugaji zinatakiwa kufanywa kama ongezeko la kipato cha maisha yako.
Lazima uwe na biashara au kazi
Tumekuwa tukiishi kwa wasiwasi sana hasa tukitumiwa pesa tunakimbilia kwa mawakala kama hatuna akili nzuri. mimi kidogo nime-advance, natembea na namba za wakala za kutolea pesa.
Ila kuna siku nimesinzia kwenye daladala kushtuka pesa wamezilamba. Sasa nadaiwa laki nne wakinijumlishia riba yao...
KWA WENYE MADENI TIMIZA, NAWAONA NAWAONA MLIVYO WAGUMU KUSAJILI. MNATAKA LINE ZENU ZIFUGWE, WAFUNGE NA MADENI YAKO.
KWA MFANO MIMI WANANIDAI LAKI NNE, WAFUNGE TU KWA KWELI LINE YAO
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.