hjayhals
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 768
- 558
Hiyo cv nina uhakika akiomba kazi UN hawakatai.
That is one heavy cv.. hakuna narudia tena.. mgogo mwenye cv heavy kama hii.
Presda mwenyew hajafikia background ya jamaa.
Ni watanzania wachache sana tena wa kuhesab wenye cv kama hii. Huyu jamaa ni lulu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mussa ASSAD ni member kwenye Board ya Ma-Auditor wa UN.