DW kiswahili wana maana gani hapa kuhusu Rais wetu?

The Humble Dreamer

JF-Expert Member
Oct 12, 2015
7,442
10,233
Nini tafsiri yake kwa kila kibox cha picha hizi kuhusu Raisi wetu?
20200422_002608_rmscr-1.jpg
 
Nini tafsiri yake kwa kila kibox cha picha hizi kuhusu Raisi wetu?
View attachment 1426026
  1. Akiwa Ikulu kwenye kiti chake Corona ikapiga hodi
  2. Akatoka akaacha ofisi na kujichimbia kuficha kichwa mwili nje.
  3. Akahimiza tusali
  4. Amelala fofofo huku Corona anamsubiri
  5. Ni kitakacho fuata ni Corona itamkimbiza na atatimua mbio ni be it kutimka kutoka alipojichimbia au kutimka kutoka..
P
 
Jr
 
Back
Top Bottom