Recent content by Kwamkono

  1. K

    Wanaume tuishio Dar es Salaam acheni tu wenzetu wa Mikoani watudharau kwa aibu kubwa kama hii

    Daaaah, nashukuru hii kashfa imenikosa nipo Mwanza Lango Moja kwa wiki sasa
  2. K

    Muhimbili hospitali ya Taifa

    Daaah, inahitajika elimu ya matumizi ya fire extinguisher maana hapo emergency zipo tena zenye ujazo mkubwa tu kama za kwenye maroli
  3. K

    Trafiki apigwa faini badala ya dereva

    Ukizubaa wanakunyoosha tu
  4. K

    Kibiti, Pwani: Majambazi yaua Askari Polisi NANE(8)

    Hii issue Serikali wachukulie serious maana sasa walinda amani wanauawa? Nadhani kikosi cha Ngerengere kinahitaji
  5. K

    Maalim Seif avuliwa Ukatibu Mkuu CUF, Magdalena Sakaya apewa Ukatibu Mkuu

    Buriani CUF Bara, sijui CUF Zanzibar watatokaje nao
  6. K

    CUF wanamlea Lipumba

    Si Profesa wa Uchumi tu nadhani sasa ame-specialize na kudidimiza Upinzani.
  7. K

    Kama haya ya walinzi wa Makonda kwa Nape ni kweli basi ni aibu kwa Rais wetu

    Namkumbuka Mzee Kikwete na staili ya ni upepo huo unapita tu, mwenye mpini anajua kutumia makali vizuri.
  8. K

    Siasa, Uchumi, Dhahabu, Neema na Laana zake

    FaizaFoxy kwa mara ya kwanza nakukubali & umepost kitu cha maana Salute, nikimkumbuka yule FaizaFoxy nacheka mwenyewe.
  9. K

    Mapichapicha ya CUF Tanganyika (Mungiki)

    Alikuwa Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uenezi sasa anafanya uenezi wake ipasavyo.
  10. K

    Polisi wafanya mauaji Songwe, wananchi waja juu

    Polisi wanauawa na Majambazi, mwananchi yasemekana ameuliwa. Tuiombee nchi yetu jamani
  11. K

    Taarifa kwa Umma kutoka kwa Wazee wa Chama Cha CUF - Dar es Salaam

    Wazee wetu kama -(kuwa na busara) maana washaelemea upande mmoja.
  12. K

    Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema afikishwa mahakama Kuu kanda ya Arusha, apata dhamana

    Wakuu sisi tuliokuwa mbali tunasubiri update zenu.
  13. K

    Kauli ya Mbowe kuahirisha maandamano ya ukuta Septemba Mosi

    Wacheni tetesi zibaki kuwa tetesi
Back
Top Bottom