JembeNaNyundo
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 533
- 652
Serikali itoe majina ya watumishi ambao hawakutoa ushirikiano wakati wa kuombwa vyeti. Kuna watu ambao hawakupeleka vyeti vya sekondari na wanafahamika kukosa vyeti husika hawamo kwenye list. Kuna hadi waganga wakuu wa mikoa ambao baadhi walikuwa Rural Medical Aid lakini wamepona katika kadhia hii kwa sababu hawakuonesha vyeti vyao pale walivyotakiwa.