Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,334
- 72,798
Nimekuta mjadala mahali kuwa walinzi wanaofahamika wa Makonda, ambao anaenda nao kila mahala hata kwenye michepuko ndio walio mvamia Nape pale Protea Hotel na ni walinzi aliopewa na mamlaka ya juu.
Kama ni kweli, na kama Mwigulu kadanganya umma kuwa mtuhumiwa kakamatwa wakati sio kweli basi hii ni fedheha kubwa sana kwa serikali na hata huyo anaye mlinda na kashfa zote yaani mkulu.
Haya ndio yale yameimbwa kuwa ni MADARAKA YA KULEVYA. Mzee aendelee tuu kunkingia kifua huyu dogo, lakini ndiye anayemchafua bila yeye kujua.