Mzee wa Monduli alipowaza na kutafuta kuonyesha kuwa elimu ni kwanza halafu mengine yanafuata... Alichemsha baada ya kukuta baba mwanaasha aka mzee wa bagamoyo kaishaweka kilimo kwanza na mengine yanafuatia..... Matokeo ya form 4 yanaonyesha kuwa elimu ilitakiwa iwe kbl kumbe
Mkuu kila kitu huwa kinakuwa na mwanzo hii issue ya kuchinja itaweza kutufikisha pabaya.... Itafika wakati hata hayo magari watu wataanza kujiuliza nani ni dereva..... Tuombe Mungu tusifikie huko
Mkuu Ringo Edmund, Mh. William Mgimwa ni mbunge wa jimbo la Karenga- Iringa si mbunge wa kuteuliwa hivyo alishaapa kiapo chake cha ubunge siku nyingi, hivyo anauhalali pande zote kuutumikia uwaziri wa fedha mkuu
Naomba nikuulize Smile kwani bwana shemeji katishia kukuacha usipompa? au we mwenyewe wajistukia? Kama nimekuelewa vizuri jamaa ni kama hataki vitendo vya kumtamanisha wakati hapewi..?
Changamoto nyingine ni jamaa kama nimpenda ngono anaweza kuwa anakula pembeni huku akijitahidi kufanya vile...
Mtu aliyekuvumulia miezi saba, he mighty be a husband material kwa 50% hivi, otherwise utapata shida sana kumwamini mtu anaitwa mwanaume. In fact kwenye mapenzi tunatake risk, you can not be 100% sure kwamba huyu ndiye mr. perfect wako weakness utazikuta tu kibao.
Kwani wewe huwezi mtosa jamaa...
Hahaha..... inalipa mpaka mwenyewe wajua duh hiyo kali, mi nilidhani mtumiaji ndiye anayeweza jua kuliko mtumiwa.
Any way in today world it`s real a challenge, vijana mpaka wamegane ndiyo mapenzi yanakwenda but kwanini msi officiate relation yenu kwa kwenda kwa wazazi kabisa posa ikiwezekana na...
Kibaya siku unampa anakuta tambalale ataanza jiuliza sasa huyu alikuwa anakatalia nini? watu washa kula huko mi nabambeleza miezi saba bado anaringa????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.