Recent content by kwaji

  1. kwaji

    Pikipiki za honda zinauzwa

    ok mkuu ofisi wap?
  2. kwaji

    Pikipiki za honda zinauzwa

    zina sitata
  3. kwaji

    Natafuta gari Noah

    Natafuta Gari aina ya Noa namba C ofa Tsh 8500000 isiwe ya fowili call 0715 877933
  4. kwaji

    Wanachuo wengi maisha yao yako hivi!

    baada hapo hapo kazi hupati
  5. kwaji

    Sitavumilia dhuruma hii Maxmalipo

    Wakati mwingine ss watanzani bado tulipa kodi za kichwa za enzi zile za baba wataifa yani .Maxcom wanakuzia 775000kama sikose na floti ya 150000 kwahiyo mashine 625000 halfu kwa mwezi mnagawana faida . pia ukishindwa biashara mashine yao unarudish bure kwanini ?wasitoe mashine bure halfu ndiyo...
  6. kwaji

    Mimi nahisi nimechapiwa wewe je?

    anakuja dar lini nimchape ?
  7. kwaji

    Arusha: Yaliyojiri kutoka mahakamani, rufaa ya Mbunge wa Arusha G. Lema, anyimwa dhamana

    Lema yupo ndani kwaajili ya wanaArusha na Tanzania wote sasa ww mwenye akili za kondoo kufuata nyuma huelwi
  8. kwaji

    Kabla hujenda kulala pitia hapa.

    mm kwetu kombweve
  9. kwaji

    RC Makonda ashtakiwa kwa kudhalilisha wanawake na kukosa maadili

    binadamu amefikia hatua ya kujifananisha na mungu duu
  10. kwaji

    RC Makonda ashtakiwa kwa kudhalilisha wanawake na kukosa maadili

    jana alisimama pale kogogo anazindua gaden akasema mwananchi si mnajua ofsini kwangu leteni kero zenu mm bado nipo sana yani anauhakika kabisa wa miaka 10
  11. kwaji

    Special Thread ya Dar Mpya: Paul Makonda afanya Ziara Jijini la Dar kusikiliza kero za wananchi

    kweli utawala wa sasa ni wakipekee kabisa Rais anashiriki kwenye mkutano wa simu duu Tanzania tupo mbali sana
  12. kwaji

    Ajira za Rais Magufuli zitalitikisa taifa kwa furaha

    matumaini nayo yana mwisho wake
  13. kwaji

    Vipi mshahara wa November?

    watu wanashindia kahawa ma mihogo duu kweli hii nchi ya viwanda
  14. kwaji

    Rais Magufuli nikukumbushe kazi tuliyokutuma, maana unayofanya mengi ni Batili!

    Unataka tarehe ya bunge kuachwa kuonyeshwa live au? unajitoafahamu siyo
Back
Top Bottom