Recent content by kuzacha

  1. K

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hali Ilivyokuwa ktk Mkutano wa CHADEMA wa Tar 27 Julai 2013 - Tabora

    Nahisi kama wewe ni gamba samahani lakini napita tu.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete: Kuwa Makini Hii Issue Itakuangusha

    moja kati ya maombi yangu kwa Mungu ni kuifanya tanzania isiwe na viongozi wezi, wala rushwa na wasiojali masrahi ya wananchi hatimae naelekea kufanikiwa.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wema sepetu ndani ya police kawe,aswekwa lok up

    Ndugu wanajamvi nakumbuka kuna siku za nyuma niliwahi kuandika comment zangu juu ya uchafu anaofanya wema na wenzake juu ya kupiga picha za uchi na kadharika, majibu yanaanza kupatikana,who is wema by then? tatizo hapo kuna watu watalegezewa macho naku......................ndani guseni...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Waraka: Serikali yatangaza kima cha chini mishahara ya kisekta

    oyaa nitumie mwanangu kwa Email yangu pkuzacha@gmail.com safi sana mdau kwa harakati
  5. K

    JamiiForums Tanzania who is the Most Loved Politician/Leader/Person or Institution in Tanzania ?.....

    kaka Tundu lisu ni mtambo
  6. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yakaidi agizo la serikali

    sasa huyo aliyebeba jiwe kubwa alitaka kuuwa? Maana chadema sijaona wana siraha but karibu ccm wote wamekunja sura wakiwa na mawe inasikitisha sana.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Majibu ya JK kwa Kagame ni haya hapa

    acheni lugha za uchochezi mtakimbilia wapi vita ikianza? maana jirani zenu wote ni vurugu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama Tabora 'yairuka' Kesi ya Kilewo na wenzake!

    CHADEMA is within peoples blood, fredom is coming tommorow
  9. K

    JamiiForums Tanzania Dhifa ya Kitaifa na Obama: Mbowe ndani ya mwaliko Ikulu

    hivi ninavyoongea punde tu nilikuwa kwenye huo msosi mnaousema sijabahatika kumuona mboe wala slaa kama mmeshindwa kufuata regulation za jf ni bora mjifute,We gamba nini? usidanganye watuuuuuuuuuu, labda kama alifika nilipoondoka kwa lengo la ......................................nae kupata sifa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Rais ajaye Tanzania (2015) ni Mwanamke

    subutuuuuuuuuuuuuuuuuu! kwa nchi hii
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ujio wa obama Tanzania - ulinzi wake katika picha

    mwanangu sijawahi kuona mwanadamu analindwa kiasi hicho ila yote ni kwamba imeandikwa hakika mtakufa japo sio kizembe:painkiller:
  12. K

    JamiiForums Tanzania wachambuzi wa G8, wasema viongozi wa africa ni wizi wa mamilionea wachangia ugumu wa nchi zao

    yesuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! Nilisimuliwagwa na babu Mtwaraaaaaaaaaaaaaaa,kumbe ndio maana alikuja kusaini mikataba ya hellgolandi mara baada ya kuapishwaaaa na wamalekani je? "Tanzania eeeeee! mwanangu kuwa uyaoneeee! tanzania eeeeeeeeeeeee by ROMA ft. dogo, writer KUZACHA.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jikoni; Kesi ya kesho ya Henry Kileo itakavyokuwa na Mpango wa kumkamata Mbowe

    when i read these thread nazidi changayikiwa kabisaa! sidhani kama ukweli unaweza kupotoshwa,"NATAMKA KWA MAMLAKA YATOKAYO JUU MBINGUNI:KAMA MIPANGO KAMA HIYO IPO! VINYWA VYAO VIKAFUNGWE SIKU HIYO NA UBUBU UTOKEE, MACHO YAO YAKATIWE PILIPILI USIKU HUU NINAPOTAMKA HAYA,WAKAPIGWE KWA...
  14. K

    JamiiForums Tanzania UPDATE: Uthibitisho wa CHADEMA kumiliki DVR mbili zilizorekodi mkutano huu hapa.

    Niko nafanya michakato ya kufuta uraia wa Tanzania ili niwe raia wa nchi nyingine atakayoniongoza Mungu wadau mtanichangia nauli? unajua nini amfedup with dis country.Amani imepotea, Haki haipo, sijui ni huu ujio wa hawa jamaa? labda wanachochea haya mambo yatokee ili tuchapane, then wajifanye...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tambiko Kubwa lafanyika Mtwara Gas isitoke

    Tumetumia siasa imeshindikana sasa acha tutumie nguvu za mababu coz hawa jamaa watata hawakawii kutuuza na sisi" slavery period" Hakuna cha obuma wala bushe samahani wadau nina tatizo la pronounciation za kiswahili, tiheee! tiheeeeee, magamba mpooooooooooooo!:lock1:
Back
Top Bottom