Recent content by kuwese

  1. kuwese

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi: Marufuku kuzika kwenye vihamba Kilimanjaro

    Nikazikwe manispaa??? Mimi sio KYASAKA bana, Tuna bonge LA ardhi akuje aone, hazikwi mtu manispaa hapa, chaaaa!! Mbtuuuuuuu.
  2. kuwese

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimewasili nchini Pakistan

    Pakistani ni wapashtuni na wahindi bhana. Hao waarabu niaje??
  3. kuwese

    JamiiForums Tanzania Serikali kumkaanga Cyprian Musiba kwa kuandika habari ''Vigogo 14 hatari kwa nchi watajwa''

    Hii imekaaje??? Kunya anye kuku bata kaharisha??? Walipotukanwa wale akina nanihiii ulikaa kimya Basi na hili la vigogo 14 akae kimya.
  4. kuwese

    JamiiForums Tanzania Bwana Heri jiandae mapema, unatafutiwa uchochoro wa kutokea

    Duh! Beans Heri ndo nani
  5. kuwese

    JamiiForums Tanzania Shule ya mafunzo ya mbwa

    Nnae bado mdogo niue nini
  6. kuwese

    JamiiForums Tanzania Julius Nyerere: Tunao wanasiasa wana tabia za kimalaya malaya, heshima yao inauzwa na ina bei (mercenary)

    Mara nyingi lisemwalo lipo na kama halipo laja
  7. kuwese

    JamiiForums Tanzania Kwa waliokojoa kitandani tu!!

    We acha tu, deibii tumesepa yeye atatokaje[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji13]. MAMA alikuwa shujaa wetu manake alitunyuka all time we what? We irrigate our bedroom.
  8. kuwese

    JamiiForums Tanzania Sera Mpya ya ardhi, Kaburi jipya la CHADEMA

    Hili la ardhi kuwa mali ya serikali hata mimi silitaki kabisa, ardhi ni mali yangu iwe na madini, mafuta hata misitu, alaa,. Leo ukigungua madini faster usheondolewa, """BULYANGHULU"""
  9. kuwese

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lema hakuwepo uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuwasilisha matatizo yanayoikabili Arusha?

    Hujielewi wewe, Mh kasema yeye ni wa kijani wale wengine hawajui Lema angeenda kufanya nini.
  10. kuwese

    JamiiForums Tanzania Spika Job Ndugai akiri kuyafahamu madai ya kambi ya upinzani bungeni, amwandikia Mbowe barua kuona namna ya kuyatatua

    Sijaelewa hapo kwa ulinzi0, swala LA Lisu lilikuwa LA nini?????.
  11. kuwese

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza tulikuonya ukapuuza, sasa UVCCM wanakung'oa

    Huyu Shonza hapendi chama LA wana, amin matendo yaonyesha.
  12. kuwese

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza tulikuonya ukapuuza, sasa UVCCM wanakung'oa

    Mimi nitabaki na msimamo wangu, mgeni unaekaa nae ni adui yako pasi na mashaka.
  13. kuwese

    JamiiForums Tanzania Uhaini unalinyemelea Taifa, ndugu mtanzania kataa kuwa popo

    Sifa zikizidi ujue utashindwa tu, once nilifurahi nikajua yes tumepata but now I'm prove wrongly turn, hekima na busara ii wapi???!!! Ubabe na kiburi cha uzima kina mwisho.
  14. kuwese

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Sijasaini nyaraka yoyote TLS toka nipigwe risasi

    Swine ni kiburudisho kwetu, wewe sijui una maanisha nini?!!?
Back
Top Bottom