Kwanini Lema hakuwepo uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuwasilisha matatizo yanayoikabili Arusha?

elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
8,691
2,000
Kuna maswala kama wananchi walionyeshewa na mvua au kupigwa jua au kuamka alfajiri kupiga kura na kumchagua muwakilishi bungeni ni lazima wajiulize.

Naamini na wengi tunaamini kuwa lengo kubwa na muhimu la mbunge kama muwakilishi wa wananchi ni kufikisha hoja za wananchi wake kwa serikali na kuhakikisha zinapatiwa ufumbuzi.

Jambo hili hufanyika bungeni kwa asilimia kubwa lakini pia hufanyika pindi inapojitokeza fursa kama vile ziara za viongozi wa serikali kitaifa.

Leo hii Arusha imepata bahati nyingine au fursa nyingine ya kutoa nyongo au kuelezea changamoto za wananchi wake.

Mrisho Gambo aliwakilisha Serikali ya mkoa kuelezea mafanikio na changamoto za kuwaletea maendeleo wanaArusha.

Pia mbunge mteule wa Arusha Bi Magige alitumia fursa kueleza baadhi ya dukuduku za wanaaArusha.

Nimeshangaa kutokuwepo kwa mbunge wa kuchaguliwa wa jimbo la Arusha mjini katika ziara hii nyeti ili naye atumie fursa kufikisha ujumbe mbadala wa matatizo ya Arusha ...ujumbe ambao hakuwahi kuutoa bungeni au aliutoa bungeni lakini haujafanyiwa kazi.

Kwangu mimi hii ni fursa iliyopotezwa kwa makusudi na muwakilishi wa wananchi.

HOJA YANGU NI NINI HASWA?

1- Kwanini Lema ameamua kutokuwepo kwenye ziara hii na kuwawakilisha wananchi?

2- Je, jambo hili sio kuwapotezea haki ya uwakilishi watu wa Arusha?

3- Je, umuhimu wa Lema katika jimbo hili hauna maana?

4- Je, Lema alinyimwa kuwepo kwenye ziara hii au alitumiwa mualiko na akagoma kufika?

5- Je, mbunge Lema anawakilisha chama chake tu au anapaswa kuwawakilisha wananchi wote wa Arusha mjini?

6- Je, Lema ana hasira sana na polisi wa Arusha na hajali polisi waliounguliwa nyumba?

7- Je, Lema hafurahishwi na amani iliyopo Arusha kwa sasa?

8- Je, Lema amekatazwa na Chama chake kuwepo kwenye ziara hii?

9- Ama Lema anaamini katika kuwasilisha matatizo ya WanaArusha kwa wazungu mfano EU?

10- Au Lema kaona wananchi wamemkataa?

Maswali ni mengi ila jibu official linahitajika kwa wapiga kura wa Arusha juu ya hii tabia ya kususa iliyooneshwa na mbunge wao.

Pongezi kwa mbunge ole millya kwa kujitokeza jana pale Mererani na pia pongezi kwa meya wa jiji kwa kuwepo kwenye hafla hii ya polisi.
Hicho hakikuwa kikao cha kupokea matatizo na hilo halikupangwa, inaelekea unawashwawashwa, bila ya kumsema hujisikii.
 
kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,730

Wenye akili wanahoji vitu muhimu wasio na akili kama wewe wanahoji na wanaandika upumbavu.
Mbunge awaacha watu Hoi, Kisa Bombadier Mpya
By Edwin Moshi at Saturday, April 07, 2018

Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Rukwa, Aida Joseph Kenan amehoji bungeni mjini Dodoma kuhusu ununuzi wa ndege mpya ya Bombadier Q400 aliyoipokea Mhe. Rais Magufuli hivi karibuni, iwapo ndicho kipaumbele cha taifa la Tanzania

Mhe. Aida amesema kwamba ingekuwa vyema kama serikali ingenunua meli na kuzitawanya sehemu mbalimbali nchini kwani wananchi wengi wa hali ya chini waliopo vijijini wanatumia meli katika kusafirisha mazao na shughuli zao zingine na hawana uwezo wa kupanda ndege.

Aidha, amewataka mawaziri kumshauri Rais na Bunge kuisimamia serikali kwa ajili ya manufaa ya Watanzania wote.
Mbunge awaacha watu Hoi, Kisa Bombadier Mpya | EDDY BLOG | Edwinmoshi Official Blog
 
takangumu

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
245
500
Mbunge aliyepangwa kueleza matatizo ya arusha jasema kuna wafanyakazi wa 77 wanadai hayo ndo matatizoo ta arusha tu
 
Madley

JF-Expert Member
Jan 9, 2017
391
250
Ongehoji kwanini hasimami bungeni kuelezea matatizo ya jimbo lake na siyo jukwaani maana jukwaani ni kwa ma RC,DC,Meya na Wakurugenzi ambao hawana sehemu maalumu ya kusemea na pia [HASHTAG]#LEMA[/HASHTAG] anaongoza jimbo na siyo mkoa.... ni elimu ndogo tu ambayo hauitaji kupigiwa makelele ili uelewe.
 
dafity

JF-Expert Member
Aug 16, 2008
1,772
2,000
Kuna maswala kama wananchi walionyeshewa na mvua au kupigwa jua au kuamka alfajiri kupiga kura na kumchagua muwakilishi bungeni ni lazima wajiulize.

Naamini na wengi tunaamini kuwa lengo kubwa na muhimu la mbunge kama muwakilishi wa wananchi ni kufikisha hoja za wananchi wake kwa serikali na kuhakikisha zinapatiwa ufumbuzi.

Jambo hili hufanyika bungeni kwa asilimia kubwa lakini pia hufanyika pindi inapojitokeza fursa kama vile ziara za viongozi wa serikali kitaifa.

Leo hii Arusha imepata bahati nyingine au fursa nyingine ya kutoa nyongo au kuelezea changamoto za wananchi wake.

Mrisho Gambo aliwakilisha Serikali ya mkoa kuelezea mafanikio na changamoto za kuwaletea maendeleo wanaArusha.

Pia mbunge mteule wa Arusha Bi Magige alitumia fursa kueleza baadhi ya dukuduku za wanaaArusha.

Nimeshangaa kutokuwepo kwa mbunge wa kuchaguliwa wa jimbo la Arusha mjini katika ziara hii nyeti ili naye atumie fursa kufikisha ujumbe mbadala wa matatizo ya Arusha ...ujumbe ambao hakuwahi kuutoa bungeni au aliutoa bungeni lakini haujafanyiwa kazi.

Kwangu mimi hii ni fursa iliyopotezwa kwa makusudi na muwakilishi wa wananchi.

HOJA YANGU NI NINI HASWA?

1- Kwanini Lema ameamua kutokuwepo kwenye ziara hii na kuwawakilisha wananchi?

2- Je, jambo hili sio kuwapotezea haki ya uwakilishi watu wa Arusha?

3- Je, umuhimu wa Lema katika jimbo hili hauna maana?

4- Je, Lema alinyimwa kuwepo kwenye ziara hii au alitumiwa mualiko na akagoma kufika?

5- Je, mbunge Lema anawakilisha chama chake tu au anapaswa kuwawakilisha wananchi wote wa Arusha mjini?

6- Je, Lema ana hasira sana na polisi wa Arusha na hajali polisi waliounguliwa nyumba?

7- Je, Lema hafurahishwi na amani iliyopo Arusha kwa sasa?

8- Je, Lema amekatazwa na Chama chake kuwepo kwenye ziara hii?

9- Ama Lema anaamini katika kuwasilisha matatizo ya WanaArusha kwa wazungu mfano EU?

10- Au Lema kaona wananchi wamemkataa?

Maswali ni mengi ila jibu official linahitajika kwa wapiga kura wa Arusha juu ya hii tabia ya kususa iliyooneshwa na mbunge wao.

Pongezi kwa mbunge ole millya kwa kujitokeza jana pale Mererani na pia pongezi kwa meya wa jiji kwa kuwepo kwenye hafla hii ya polisi.
Matatizo ya wananchi hayawasilishwi uwanjani. Liposti lako lireeeefu lakini off-point
 
bhokesa

Senior Member
Feb 23, 2018
138

Matatizo ya arusha yanasababishwa na ccm na serikali yake anawezaje kutoa matatizo kwa wanaosababisha acha ujinga
 
yomboo

JF-Expert Member
May 9, 2015
6,236

Alikuwa anaogopa kununliwa maana chief buyer alikuwepo

Kingine kuwakilisha wananchi dhidi ya nani???
 
sokonne

Member
Mar 25, 2018
46
95

Sehemu ya mbunge kusemea wananchi ni bungeni, siyo viwanjani
 
edwardbm

JF-Expert Member
Nov 3, 2016
290
250
Mbona hukushangaa Mbunge kukaa mahabusu kwa miezi 4 kisa kunyinwa dhamana?

Mbona hushangai Mbunge kufungwa jela miezi 5 tena kwa kosa la kwanza badala ya kutakiwa kulipa faini?

Ni lini bwana mkubwa aliwahi kukemea kauli inayodaiwa kutolewa na wasaidizI wake kwa wananchi kuwa mkichague upinzani hamtaletewa maendeleo?

Isitoshe,huko anakopita kila siku nini kimebadilika?

Acha kuwa mnafiki!!
Fanya yako tu hawa wanasiasa wasikuumize sana kichwa
 
kuwese

JF-Expert Member
Nov 16, 2015
818
500
Hujielewi wewe, Mh kasema yeye ni wa kijani wale wengine hawajui Lema angeenda kufanya nini.
 
James Martin

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
970
1,000
Kuna maswala kama wananchi walionyeshewa na mvua au kupigwa jua au kuamka alfajiri kupiga kura na kumchagua muwakilishi bungeni ni lazima wajiulize.

Naamini na wengi tunaamini kuwa lengo kubwa na muhimu la mbunge kama muwakilishi wa wananchi ni kufikisha hoja za wananchi wake kwa serikali na kuhakikisha zinapatiwa ufumbuzi.

Jambo hili hufanyika bungeni kwa asilimia kubwa lakini pia hufanyika pindi inapojitokeza fursa kama vile ziara za viongozi wa serikali kitaifa.

Leo hii Arusha imepata bahati nyingine au fursa nyingine ya kutoa nyongo au kuelezea changamoto za wananchi wake.

Mrisho Gambo aliwakilisha Serikali ya mkoa kuelezea mafanikio na changamoto za kuwaletea maendeleo wanaArusha.

Pia mbunge mteule wa Arusha Bi Magige alitumia fursa kueleza baadhi ya dukuduku za wanaaArusha.

Nimeshangaa kutokuwepo kwa mbunge wa kuchaguliwa wa jimbo la Arusha mjini katika ziara hii nyeti ili naye atumie fursa kufikisha ujumbe mbadala wa matatizo ya Arusha ...ujumbe ambao hakuwahi kuutoa bungeni au aliutoa bungeni lakini haujafanyiwa kazi.

Kwangu mimi hii ni fursa iliyopotezwa kwa makusudi na muwakilishi wa wananchi.

HOJA YANGU NI NINI HASWA?

1- Kwanini Lema ameamua kutokuwepo kwenye ziara hii na kuwawakilisha wananchi?

2- Je, jambo hili sio kuwapotezea haki ya uwakilishi watu wa Arusha?

3- Je, umuhimu wa Lema katika jimbo hili hauna maana?

4- Je, Lema alinyimwa kuwepo kwenye ziara hii au alitumiwa mualiko na akagoma kufika?

5- Je, mbunge Lema anawakilisha chama chake tu au anapaswa kuwawakilisha wananchi wote wa Arusha mjini?

6- Je, Lema ana hasira sana na polisi wa Arusha na hajali polisi waliounguliwa nyumba?

7- Je, Lema hafurahishwi na amani iliyopo Arusha kwa sasa?

8- Je, Lema amekatazwa na Chama chake kuwepo kwenye ziara hii?

9- Ama Lema anaamini katika kuwasilisha matatizo ya WanaArusha kwa wazungu mfano EU?

10- Au Lema kaona wananchi wamemkataa?

Maswali ni mengi ila jibu official linahitajika kwa wapiga kura wa Arusha juu ya hii tabia ya kususa iliyooneshwa na mbunge wao.

Pongezi kwa mbunge ole millya kwa kujitokeza jana pale Mererani na pia pongezi kwa meya wa jiji kwa kuwepo kwenye hafla hii ya polisi.

Hata mimi nisingeenda. Yaani unataka Lema ajipendekeze kwa mtu anayetaka kuua upinzani Tanzania. Sidhani kama wspiga kura wa Lema watapoteza usingizi kwa Lema kutokwenda.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom