Recent content by Kusena

  1. Kusena

    JamiiForums Tanzania Nilitoa kafara miaka mitano kujifunza Forex

    Hii inanitia moyo wa kujifunza kwanza
  2. Kusena

    JamiiForums Tanzania Najivunia sana mama yangu ambaye alikuwa Single Mother

    WEWE NI MIMI WA MIAKA MITATU NYUMA, ILA MIMI SIO WEWE WA SASA HIVI. NILIAMUA KUTOKUA WEWE WA SASA HIVI NA KUAMUA SAHIHI BAADA YA KUGUNDUA KILA KITU KINAPANGWA NA KILA KITU KINA KUSUDI KATIKA MAISHA. SISEMI SANA ILA MUNGU AKUONGOZE
  3. Kusena

    JamiiForums Tanzania Nilitoa kafara miaka mitano kujifunza Forex

    Kumpata ni kipengele wengi ni matapeli
  4. Kusena

    JamiiForums Tanzania Nilitoa kafara miaka mitano kujifunza Forex

    Pdf ni bora zaidi, mimi napenda mno vitabu
  5. Kusena

    JamiiForums Tanzania Nilitoa kafara miaka mitano kujifunza Forex

    Uzuri umeeleweka nq watu waliokuelewa mimi ni mwezi wa 6 nachukua skills kutoka kwenye vitabu.
  6. Kusena

    JamiiForums Tanzania Nina stashahada ya Maendeleo ya Jamii. Natafuta ajira halali

    Habari zenu wapendwa, Poleni kwa mihangaiko ya kila siku. Kwa majina naitwa Kusena, mwanaume mwenye umri wa miaka 26, elimu yangu ni stashahada ya Maendeleo ya jamii. Mimi ni mzaliwa wa mkoa wa Pwani, halmashauri ya wilaya ya Chalinze, na kwa sasa ninaishi katika mkoa wa Mbeya. Ndugu zanguni...
  7. Kusena

    JamiiForums Tanzania Natafuta fursa ya kazi halali

    Habari zenu wapendwa, Poleni kwa mihangaiko ya kila siku. Kwa majina naitwa Kusena, mwanaume mwenye umri wa miaka 26, elimu yangu ni stashahada ya Maendeleo ya jamii. Mimi ni mzaliwa wa mkoa wa Pwani, halmashauri ya wilaya ya Chalinze, na kwa sasa ninaishi katika mkoa wa Mbeya. Ndugu zanguni...
  8. Kusena

    JamiiForums Tanzania 3 Technical staff at Mtwara Halotel

    Mkuu huna za diploma?
  9. Kusena

    JamiiForums Tanzania Kijana acha kujiita jobless, chukua hii achana na ubishoo

    Tulivyojaribu kupika.
  10. Kusena

    JamiiForums Tanzania Kijana acha kujiita jobless, chukua hii achana na ubishoo

    Ungeweka hata namba ya WhatsApp basi tukutumie picha
  11. Kusena

    JamiiForums Tanzania Aina ya mazao ya kilimo yanayolimwa butiama

    Muhogo,ulezi na mtama
  12. Kusena

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi mwenye connection yoyote ya kazi sehemu yoyote Tanzania

    Kalime na kufuga kijijini.
  13. Kusena

    JamiiForums Tanzania Kwanini shule za kiislamu hazifanyi vizuri katika mitihani ya taifa?

    Waacheni wafundishwe swalah tuh
Back
Top Bottom