Recent content by Kunya Raha

  1. Kunya Raha

    Ajali Morogoro: Mrithi wa Villa Park Makambako afariki

    Gharama zenyewe si ndo kama hizi, anadondoka mmoja baada ya mwingine mkuu!!!
  2. Kunya Raha

    Ajali Morogoro: Mrithi wa Villa Park Makambako afariki

    Morogoro alikuwa anaenda kwa bibi kalembwana kurenew au!?
  3. Kunya Raha

    Wauzaji wa matofali badilikeni

    Huko tutafika tu muda si mrefu
  4. Kunya Raha

    Wauzaji wa matofali badilikeni

    Kwahiyo kwa hizo tofali 3000 anazotaka yeye atakuwa amesave laki saba na ushee Tsh 700,000 +
  5. Kunya Raha

    Wauzaji wa matofali badilikeni

    Hao wanatumia mchanga kutoka China ndio mana bei yao ipo chini sana
  6. Kunya Raha

    Wauzaji wa matofali badilikeni

    Asante kwa Tangazo mkuu
  7. Kunya Raha

    Wauzaji wa matofali badilikeni

    Always, cheaper is expensive brother!!!
  8. Kunya Raha

    Wengi msichokijua kuhusu nyama ya mbuzi kwa Mrombo mkoani Arusha

    Kama vile ilivyo bata, kwa kuku. Lakini bata ni tamu kuliko kuku. Na kondoo ni tamu kuliko mbuzi
  9. Kunya Raha

    Wengi msichokijua kuhusu nyama ya mbuzi kwa Mrombo mkoani Arusha

    Tena ya kondoo haisababishi maradhi kama ilivyo ya mbuzi, kwa mfano gauti!!
  10. Kunya Raha

    Wadada ambao ndoa bado

    Ukitaka Ndoa Njoo kwangu
  11. Kunya Raha

    Nick wa Pili na mbwembwe za usomi

    Sijaona point mkuu. Tatizo linaanzia pale mtu anayejifanya msomi kuanza kumcrush msomi.
  12. Kunya Raha

    Nick wa Pili na mbwembwe za usomi

    Hujaidadavua vizuri hoja yako. Yaani binafsi sijaelewa umestick kwenye nini meku.
  13. Kunya Raha

    Lafudhi ya Mwanadada Dokii

    Kuna wasukuma wamekuja mjini wakiwa vijana, mpaka wakabalehe, na wao kupata familia zao, lakini mpaka Leo lafudhi ya kisukuma haijawatoka mdomoni
Back
Top Bottom