Recent content by kuntamanyangwi

  1. kuntamanyangwi

    JamiiForums Tanzania If your life was a book, What would the title be?

    Kuntamanyangwi
  2. kuntamanyangwi

    JamiiForums Tanzania Huu ni ubinafsi uliokithiri kwa mbunge jumbo la kwela

    Usijali Mkuu ila chilamanyika
  3. kuntamanyangwi

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz achaguliwa na FIFA kushiriki wimbo wa Kombe la Dunia 2018

    Mungu amsaidie ili apeperushe vyema bendera ya Tanzania Siku hiyo!
  4. kuntamanyangwi

    JamiiForums Tanzania Huu ni uonevu wa kiwango cha lami; Mwl wa art nimehamishiwa s/msingi na nafasi yangu imejazwa tena na mwalimu wa art!

    Mkuu hilo halifwatwi saizi ni kuhamisha tuu! Ishu ni Mkuu Wa Shule ndo anaamua nani aende na nani abaki.
  5. kuntamanyangwi

    JamiiForums Tanzania Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Twambie ukweli hapo hotelini huyo mfanyakazi wa wizara kaku..... Nini
  6. kuntamanyangwi

    JamiiForums Tanzania Salamu za mwaka mpya kutoka kwa Rais Magufuli

    ATUBU KWANZA
  7. kuntamanyangwi

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa ajira walimu wa Arts toka Serikali

    Hiyo picha utakuwa umeamuwa tuu kuiweka hapa lakini haina uhusiano na nilichoandika.
  8. kuntamanyangwi

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa ajira walimu wa Arts toka Serikali

    Hakuna sehemu niliposema mwl afundishe somo ambalo hakusomea. Soma vzr mchango wangu mkuu@ipogolo
  9. kuntamanyangwi

    JamiiForums Tanzania Rwegasira ageuka tena, asema viongozi wa dini ni ruksa kuisifia Serikali kwa kuwa haivurugi amani

    Siyo kosa lake. Yy ni kisemeo tuu.
  10. kuntamanyangwi

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Hakuna huduma vibanda vyafungwa kigoma Ujiji

    Hapo ndio utajuwa kwamba % huwa inazidi 100. Ni mazingira kama hayo. Poleni sana wafanya biashara katika eneo hilo kwa ongezeko la zaidi ya 330%. Kiuchumi hii ina maana kubwa sana.
  11. kuntamanyangwi

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa ajira walimu wa Arts toka Serikali

    Yapo maeneo machache bado uhitaji upo japo siyo Mkubwa, lakini maeneo mengi hakuna uhitaji wa walimu w arts. Na jambo kama hili ni lakawaida kabisa haya ndiyo maendeleo yenyewe ambayo tumekuwa tunayapigania tangu Uhuru (1961). Zamani ilikuwa mtu akihitim chuo lazima apate kazi bila kujali...
Back
Top Bottom