Recent content by Kungwi

 1. K

  Alama gani unamwachia mpenzi/mwenza wako?

  ucku ni muda wako mzuri kumfanya kesho akukumbuke nakutamani kukuona tena na kikubwa ni upendo wa kweli coz alama haina umuhmu watu wengi wanaibiwa na hawajui.
 2. K

  Ushauri kwa huyu rafiki

  jamaa hajampenda huyo dada ila pia ni vyema wamewekana wazi huenda mungu hakupanga wawe pamoja huyo dada aachane nae kwanza mwaka mmoja hawawezi wakawa wamezama kiasi hicho especialy kwa mdada
 3. K

  Rafiki yangu anataka nifanye tendo la ndoa na mkewe!

  Gazeti achana na hizo mambo mwambie haiwezdkani mbegu zako ni za muhmu kweki c kugawa kama pipi pia baadae utakuja mtamani huyo mtoto uje uzuke ugomvi kingne kuna hili gonjwa letu. kazi kwako.
 4. K

  Kwanini kila ndoa inayovunjika lawama anatupiwa mwanamke!!!!!

  hata wanawake wanaoweza kuwa na kila mwanaume wapo inabdi tufanye mpango waoane ili wawashiane moto
 5. K

  Kwani ni lazima wanawake wadeke?

  mbona hata nyie wa baba mbona mnadka sana?
 6. K

  Kwanini kila ndoa inayovunjika lawama anatupiwa mwanamke!!!!!

  analaumiwa mke sababu inaaminika mke anatakiwa kuwa mvumilivu ingawa si vyema sana akavumilia ambayo hayavumiliki kwani nae anakwao angalia maisha ya wazungu yalivyo mmeshndwana mnaachana kwa amani sisi mmh
 7. K

  Je? Mwanamke anayejiuza anaweza kuwa mke mwema zaidi ya yule ambaye hajiuzi?

  ni kheri malaya kuliko anaejifanya mwema.
 8. K

  Wanaume inakuwaje hamridhiki na wake zenu?

  Jamani changieni.
 9. K

  Hello

  akhsante sana sangara
 10. K

  Hello

  akhsante mwali amepumzka waharibifu wamekuwa wengi
 11. K

  Anaomba tuachane na sio kutengana!

  wengne wote wataongea ila wewe ndo unajua kama unamuhtaji ama la.
 12. K

  Hello

  Hodi hodi wana jamii
 13. K

  How to use JamiiForums effectively

  jamani msaada
Top Bottom