Kwanini kila ndoa inayovunjika lawama anatupiwa mwanamke!!!!!

analaumiwa mke sababu inaaminika mke anatakiwa kuwa mvumilivu ingawa si vyema sana akavumilia ambayo hayavumiliki kwani nae anakwao
angalia maisha ya wazungu yalivyo
mmeshndwana mnaachana kwa amani
sisi mmh
 
bu Nature mwanaume lazima awe mwingi kutokana na asili yake , ila sio kwamba mwanamke akiona hivo ndo aje juu kutaka usawa - hapo ndo wanapoharibu.
mwanamke mwenye busara lazima ajue akishaolewa basi awe mvumilivu hadi mwisho na tena kama ndo ndoa ya kikristu ndo imetoka hiyoo, akijaribu kuivunja lazima aonekane malaya.
 
ukisoma kitabu cha mwanzo utajua kwa nini
adamu alikimbia bustani ya edeni na chanzo kilikuwa nani so sidhani hilo ni jipya ni mfululizo wa matokeo ya yaliotokea
 
Inaaminika kua kwa kila mwanaume mwenye mafanikio nyuma yake kuna mwanamke shujaa, basi ni dhahiri kuwa kwa kila mwanaume asiye na mafanikio(pamoja na kuvunjika kwa ndoa) basi nyuma yake kuna mwanamke mzembe.!
 
bu Nature mwanaume lazima awe mwingi kutokana na asili yake , ila sio kwamba mwanamke akiona hivo ndo aje juu kutaka usawa - hapo ndo wanapoharibu.
mwanamke mwenye busara lazima ajue akishaolewa basi awe mvumilivu hadi mwisho na tena kama ndo ndoa ya kikristu ndo imetoka hiyoo, akijaribu kuivunja lazima aonekane malaya.

hata wanawake wanaoweza kuwa na kila mwanaume wapo
inabdi tufanye mpango waoane ili wawashiane moto
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom