Recent content by Kungwi Mtoto

  1. Kungwi Mtoto

    Weekend story! BEN 10

    Uwiii niko mnitag jaman ikiendeleaaa.
  2. Kungwi Mtoto

    Ni Hoja ya Kimantiki na kiakili kufikiri kwamba Mungu hafi na wakati huo huo kumkataa mtu uliyemsema hakufa kwamba sio Mungu?

    Sikushangai kwani hata ktk nyuzi zako ni hayo tu.. Mungu yupo leo hata milele ila Allah hayupo kwa sababu simfahamu.
  3. Kungwi Mtoto

    Nataka kufanya biashara ya asali kutoka Tabora kuleta Dar es Salaam

    Mimi kuna mtu ambaye ni my best friend anakuuzia lita 40 kwa sh 380,000 ukitaka asali iliyo safi na nzuri... niko Iringa....
  4. Kungwi Mtoto

    Ni Hoja ya Kimantiki na kiakili kufikiri kwamba Mungu hafi na wakati huo huo kumkataa mtu uliyemsema hakufa kwamba sio Mungu?

    Usamehewe kwa kweli ila siku utakayo kuwa na shida ndo utamkiri yupo.. sasa kama hayupo!! Means hata mnavyoita Allah naye hayupo pia? Wewe unaimani za kifreemason usamehewe mkuuu.
  5. Kungwi Mtoto

    Baada ya kuachana na aliyekuwa mchumba wangu, upweke unanimaliza

    Kama wawaza kimfyekelea mbali safi kwani huo ndo ukomavu wa mapenzi sip kuwa mnyonge.. NB: jitahidi kutokumpenda mpenzi kwa moyo wako wote hayo mapenzi waachie wazazi wako tu my dear.
  6. Kungwi Mtoto

    Bado anaendelea kuwasiliana na x wake kimya kimya kupitia (hidden chats whatsapp)

    Nilitaka ona conclusion ya mapenzi yako.. umeamua safi sana funga kurasa piga kazi huyo sio chaguo lako hakuwa anakupenda kabisa.. Rudo kwa wazazi wakp unajua wengi tunawakosea wazazi kisa penzi.. rudi na usioe mtu ambaye mko nje kidin kitofaut kwanza mwanamke ndo humfata mme sio mke jamani...
  7. Kungwi Mtoto

    Mpenzi wangu ananitukana sana!

    Ukaishi kwa mwanaume hajakuoa khaaa kwanza usiogope kutukanwa lazima utukanwe ndo akili ikae sawa.. Unajua anakutumia, anakulala , unamuhudumia kama mmeo ili upate pendo kwake sasa heri leo anakutukana atakuletea mwanamke humo.ndani na hutamwambia kitu. 1: akufukuzae hakwambii tookaaaaaaaa. 2...
  8. Kungwi Mtoto

    Baada ya kuachana na aliyekuwa mchumba wangu, upweke unanimaliza

    muhimu atafute maelewano kwani kujishusha kuna maana sana ktk mapenzi na pia shida ya wanaume hawapendi kujishusha bali hupenda wapenzi wao wajishushe hata kama wao ndo wana makosa.. Km wampenda kutoka moyon na mchumba jaman hata familia humjua so atafute watu watakaonusuru hilo penzi lirudi...
  9. Kungwi Mtoto

    Baada ya kuachana na aliyekuwa mchumba wangu, upweke unanimaliza

    Au hiyo miezi niiandika ndo imekuchanganya.. ok am sorry but niliandika faster nikiwa nadrive am sorry.
  10. Kungwi Mtoto

    Baada ya kuachana na aliyekuwa mchumba wangu, upweke unanimaliza

    Alikuwa mchumba!!! Mchumba ni mtu wa aina gani? Je inawezekana mtu akawa mchumba kwa miezi 3!!! Nawaza ujue sipati jibu huo uchumba wenu ulikuwaje😁👆
  11. Kungwi Mtoto

    Naombeni msaada kurudi bongo

    😁😁😁😁😁😁😁😁👆
  12. Kungwi Mtoto

    Naombeni msaada kurudi bongo

    Jaman mimi nitakuwa tofaut na wote.. hutu age ishaenda tayar na pesa hajapata na nyumbani ni nyumbani. RUDI tu Tanzania hicho ulichokipata hata km.ni milion yako wewe njoo tu kwani kwa age yako utarudi maiti home.. rudi tu.. but kwani kampuni ulonayo hawatoi hela ya wastaafu hukuajiliwa??? Ndugu...
  13. Kungwi Mtoto

    Naombeni msaada kurudi bongo

    Sip 18000 ni 1800 jamani hata nashindwa elewa alikuwa anafanya kazi gani huko na yaonesha alikuwa mtu wa starehe sana sio siri imagine kama.msichana wa kazi za ndani anakaa miaka miwili na akirudi anarudi na ana kiwanja why yeye jamani''
  14. Kungwi Mtoto

    Tuliowahi kuwakimbia wapenzi wa kwenye mitandao ya kijamii siku ya kwanza kukutana nao

    Amina my friend.. muhimu hawa watu unatakiwa kuwa mvumilivu na hauna papara na marriage.. but cku akiniuliza tu nitajibu bila kuvuta pumzi hiyo Yes😁
  15. Kungwi Mtoto

    Tuliowahi kuwakimbia wapenzi wa kwenye mitandao ya kijamii siku ya kwanza kukutana nao

    Nope kuolewa sio dili kwangu.. sifikirii zaidi ya kufikiria pesa ktk maisha yangu..
Back
Top Bottom