Recent content by kunguu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Camfed ni nini? Anae wafahamu Camfed vizuri afunguke

    Hadi mtoto anaingizwa kwenye mpango huu ,alihojiwa na ikaazibitika kua anaishi mazingira magumu,
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais baada ya Kunusa dalili za Kunyimwa Misaada na Mikopo , anajaribu ku manipulate Raia, Et 'Huko kwao Uchumi unafanya vibaya, sisi twafanya vizuri!

    Rais ameongea ukweli ,japo kuna nyumbu wanakua wabishi kama ilivyo kawaida yao
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kueezeka nyumba ni ushauri gani utanifaa

    Lakini bati hazilingani upana? Zip zeny 75,81, 91 had 110cmt hapo vip msaada?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kueezeka nyumba ni ushauri gani utanifaa

    Mbao yq mkaratusi vipi?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nimecheka sana hili bango nililoona hapa Korogwe mjini -Tanga

    Kwakweli Mama amejitahidi sana hasa kwenye elimu , na afya amejenga madarasa ,vituo vingi vya Afya . Hiyo barabara haipo Korogwe
  6. K

    JamiiForums Tanzania Sabato njema wapendwa| sda songs thread

    Happy sabath
  7. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Nilimpiga kikofi January leo namrudisha kwa mama

    Kwakweli mama samia yupo vizuri sana,leo nimeshuhudia mradi mkubwa wa bwawa la umwagiliaji mkomazi niseme tu hongera sana mama ,octobar hatutakuangusha ,Mungu akubariki na akupe maisha marefu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepita mtihani wa Kiswahili maandalizi kwa ajili ya Oral

    Mweny mkeka wa IIIB history na civics
  9. K

    JamiiForums Tanzania Watumishi waagizwa kumtafutia kura Rais Samia 2025

    Kwakweli mama kafanya mengi sana kwa watumishi hatutakuangusha mama
  10. K

    JamiiForums Tanzania BIL 18. 5 kusambaza umeme K'njaro

    Kuna vijiji havina umeme hasa wilaya ya same
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kuwa mwanachama hai wa CCM ni fursa ya kipekee sana kwa wewe mzalendo kutimiza wajibu wako kwa taifa lako na ndoto zako katika maisha yako

    "]Mm nlijiunga kupitia app ya ccm ila sasa ni miaka miwili sijapata kadi yangu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kuwa mwanachama hai wa CCM ni fursa ya kipekee sana kwa wewe mzalendo kutimiza wajibu wako kwa taifa lako na ndoto zako katika maisha yako

    Mm nlijiunga kipitia app ya ccm ila ss ni miaka miwili sijapata kadi yangu
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wakala wa REA Kanda ya Kaskazini, utasababisha kuikosesha CCM kushinda kwenye kijiji cha Lugulu kilichopo halmashauri ya Same

    Ujumbe kwa CCM ,na mbunge wa Same mashariki, wakala REA kanda ya kaskazini ameshindwa kukiunganishia umeme kijiji cha Lugulu kilichopo halmashauri ya same, Wananchi wanalamika sana kua wao wamekua wakidanganywa kila kipindi cha uchaguzi kinapokaribia kua wataunganishiwa umeme, ahadi ambayo Tangu...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

    Bumbuli sio wilaya,ila ipo wilaya ya lushoto, lushoto ina majimbo matatu, mlalo,lushoto mjini na bumbuli ,pia kuna halmashauri mbili ,hamshauri ya (w) lushoto na halmashauri ya bumbuli
Back
Top Bottom