Recent content by Kunguru Wa Zanzibar

  1. Kunguru Wa Zanzibar

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nyimbo ya Nikki wa pili ft Pipi - Dunia ilichonipa
  2. Kunguru Wa Zanzibar

    Naombeni suluhisho la 'Kikatili' la Kukabiliana na Paka wanaolia kama Watoto Wachanga Majumbani Nyakati za Usiku tu

    Mim mwenyewe kipind nahamia kwenye nyumba flan ilkua hvyo.. kla cku walkua wanalia dirishan km watoto.. kuna cku nkasema liwalo na liwe nlchukua mijiwe niliwapiga afu walkua ndani ya fensi ss tangu cku hyo hakuna kulia tenaa..
  3. Kunguru Wa Zanzibar

    Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo

    Cku Chizi Maarifa akishusha uzi 2kimaliza kuusoma comments ze2 ztakua n ma2c na kutoa yote ya moyon.! Mana mateso anayo2pa n zaid ya kusaltiwa na wapenzi we2.!
  4. Kunguru Wa Zanzibar

    Je, huyu house boy atakuwa anavuta bangi?

    Kweli dunian bdo cjaona na kuckia mengi [emoji38][emoji38][emoji38]
  5. Kunguru Wa Zanzibar

    Baba yangu aliniambia hanikumbuki, niliumia sana

    Pointless.. sas huyo mwamba kosa lake n nn hapo.! km dogo angepotea je.! Na kumbuka huyu dogo hata alpokua anaenda alkua hapajui afu unamwambia ajifiche then ndo akuje umeckia wanacheza kombolela hapo.!
  6. Kunguru Wa Zanzibar

    Tulirukia gari kutahamaki tupo kambi ya jeshi

    We jamaa.! U made ma day.! Much respect 2 U.! [emoji23][emoji23][emoji23]
  7. Kunguru Wa Zanzibar

    Ufafanuzi: Kuvunjwa Halmashauri ya Jiji la Dar kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kuwa Jiji

    Kifupi n hv Ilala ndo imekua ikitoa pato kubwa sana kuliko wilaya yeyote Mjin Dar.. sas wameamua kuichuku ilala ili waweze kucontrol hzo hela kwa kisingzio cha halmashauli ya jiji.. datz it.! OVER
  8. Kunguru Wa Zanzibar

    Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo

    Anaepajua anapoishi Chizi Maarifa aseme tukafanye fujo nyumban kwake [emoji35][emoji35][emoji35]
  9. Kunguru Wa Zanzibar

    Mashoga wanatakiwa wapewe adhabu ya kifo hapo ndio tutaokoa kizazi hiki

    Sas mbona umemaind kuskia issue za mashoga kuznguliwa mkuu..!
  10. Kunguru Wa Zanzibar

    Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo

    Km unanzishaga uzi afu unashindwa kumalzia n bora ungeacha mana unaua VIBE.!
Back
Top Bottom