Wahenga walipokuja hasa na hii Misemo nitakayoitaja hapa walikuwa na maana gani Kwetu Waswahili?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
1. Mwosha Huoshwa
2. Mficha Maradhi Kifo humuumbua
3. Malipo ni hapa hapa duniani
4. Mficha Uchi hazai ng'o
5. Siri ni ya Mmoja na si ya Wawili
6. Njia ya Muongo ni fupi sana
7. Lisemwalo lipo kama halipo basi laja

Naweza Kuamini kuwa Wahenga si tu walikuwa ni Manabii, lakini pia walikuwa ni Werevu na haya Maneno yao yanaishi (yanatokea) tena 100%.
 
Hizi zinamhusu Mr Mzungu Mbelgium & mwenzake Kgg2014, esp namba 6: ^Njia ya mwongo fupi^

Tutegemee uongo kama maungo mengine yake --- he has nothing to lose, whether he speaks truth or lies. Anajua amesema uongo mwingiiiiii lazima aufunike kwa uongo mwingine. Wapenda uongo & fitina & umbeya & uzushi mtazidi kudanganywa sana tu, mwisho kwenu uongo ndio utakuwa ukweli na ukweli uongo. Kazi kwenu!!! Lakini kumbukeni JPM aliposema ^Hapa Kazi Tu^ hakuwa na maana ya hiyo kazi dufu ambayo mmejichagulia nyie vibweterere.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom