Katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam, kuna mwembe mkubwa wenye historia ya kipekee. Mwembe huu, unaotarajiwa kutimiza miaka 61 mnamo Aprili 2024, haujulikani sana kwa wengi.
Mti huo ulipandwa tarehe 26 Aprili 1964 kama sehemu ya kumbukumbu maalum ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar...
Tabora Hotel, ambayo kwa sasa inajulikana kama Orion Tabora Hotel, ina historia ndefu na ya kipekee inayohusiana na mabadiliko ya kisiasa, kiuchumi, na kitamaduni nchini Tanzania kwa zaidi ya karne moja. Iko katika mji wa Tabora, hoteli hii inachukuliwa kuwa moja ya majengo ya kihistoria...
Utofauti si kwenye biolojia ya watoto ila mazingira yalivyo kwa kipindi kile na hiki. Utandawazi na teknolojia kwa sasa imekua sana…mfano zamani watoto walikuwa wanacheza nje ila kwa sasa ukimwambia wako acheze nje si ajabu atajikuta mwenyewe
Leo nimekaa nimewaza sana kuna games watoto wetu wanacheza siku hizi ila nyingi zina hatari sana. Games nyingi siku hizi wanacheza online na zinawakutanisha na watu wasio wajua kabisa. Hii ni hatari sana
Lakini pia siku hizi haya hizi games na cartoons zimekuwa na maudhuni ya ajabu mengi...
Nashangaa sana kwa namna watu wanavyodhani Melo amewekwa mfukoni kisa kuwa Mjumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi. Watu wanasahau mapema sana
Melo ndio amekuwa mstari wa mbele kabisa kupigania Ulinzi wa Taarifa Binafsi hadi kuwepo kwa sheria na Kanuni zake, kwa nafasi hiyo naamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.