Ndio mimi nimekupa hiyo feed back ulio taka! Hii simu imezidiwa na ANDOIR VERSIO na BATTERY tu, ukilinganisha na simu nyingi matoleo ya sasa!, ila tofauti na vigezo hivyo, hakuna simu ya level yake unaweza fanananishana nayo
Natumia aquous zero 6 5G natamani kubadilisha simu ila sijaona ya kui compete kwa simu za grade yake tena za kisasa, kwanza refresh rate 120 na kuendelea kitu ambacho sijaona kwenye simu nyingi hata kwa baadhi ya matoleo mapya, na kitakacho nifanya ni badilishe hii simu ni android version tu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.