Recent content by Kung fu panda

  1. Kung fu panda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuishi na watu

    madili haya yanahusu 90s hawa wa 2000s hawaelewi hizi mambo
  2. Kung fu panda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu analalamika simridhishi, nataka nisimuoe

    on a serious note,saikolojia yake amekariri vitu flani kila siku,lab,jaribu kubadili mazingira sometimes mtoe out mkalale ata hotelini siyo kila siku mazingira Yale yale
  3. Kung fu panda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu analalamika simridhishi, nataka nisimuoe

    Mkuu fikiria nje ya boksi utakuta ata huyo mtoto si wako,manzi analinganisha show zako na mabaharia waliopita utaweza iyo ligi?
  4. Kung fu panda

    JamiiForums Tanzania Wanaifananisha Shogun na Game Of Thrones

    Game of thrones ni zaidi ya series
  5. Kung fu panda

    JamiiForums Tanzania Wanaifananisha Shogun na Game Of Thrones

    Jaqin Hagar ni 🔥🔥🔥
  6. Kung fu panda

    JamiiForums Tanzania Yule mwanamuziki bora wa muda wote "CHRIS BROWN" ameachia album kali funga mwaka

    Ten toes ni Bora kwangu huwa nairudia daily
  7. Kung fu panda

    JamiiForums Tanzania Ndoto ambazo nimekuwa nikiziota kwa muda mrefu sasa na kiukweli zinanitesa sana

    ndoto ya shule ata Mimi huwa inanisumbua na sijawahi kujua Mimi maana yake
  8. Kung fu panda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulijisikiaje baada ya kugundua unaenda kuwa mzazi kwa Mara ya kwanza?

    ile feeling ni hatari Sana Wakuu,ila hofu ilizidi hasa ya kuhofia majukumu.pale ndo nilielewa uzito wa kuwa Baba
  9. Kung fu panda

    JamiiForums Tanzania Mbwa anauzwa 300k

    ila wabongo nuksi,wanapiga spana kweli kweli
  10. Kung fu panda

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku matumizi ya kuni na mkaa kulisha watu zaidi ya 100

    meanwhile serikali haiwezi kucontrol mfumuko wa bei ya nishati e g Gesi
  11. Kung fu panda

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda adaiwa kumtishia Maisha Salaah wa GSM. Polisi waogopa kumchukulia hatua Makonda

    tupo bize na mechi ya thimba kwanza Nguvu moya
  12. Kung fu panda

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda adaiwa kumtishia Maisha Salaah wa GSM. Polisi waogopa kumchukulia hatua Makonda

    Mambo yao tuwaachie wenyewe
  13. Kung fu panda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Action comedy movies uzijuazo, ziorodheshe

    Family plan by mark Wahlberg 🔥
  14. Kung fu panda

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wako akikufanyia hivi unachukua hatua gani

    unavaa nguo unapita unakanyaga apo mgongoni Kisha unatokomea
Back
Top Bottom