Recent content by Kundasenyi

  1. K

    Nazidi kukata tamaha, nifanyeje?!

    Ngoja livunde kama utauona ubani, ngojangoja huumiza matumbo.. Du! kaneno kenyewe kadooogo kana kusumbua miezi yote hiyo! "NAKUPENDA" khaa! ebo, kumbe kana spelling 9 tu, sa unashindwa nini kukataja!! shaurilo..
  2. K

    Mama hamtaki mpenzi wangu

    Mama yako nadhani ni mtu mzima, naamini kabisa hawezi mkataa pasipo kukupa sababu.. Acha kuandika vitu nusunusu toa maelezo ya kutosha kwani kwa styl hi uwezi pewa ushauri utakao kufaa,
  3. K

    Utii

    Mh! thread zingine zinataka moyo kuzisoma
  4. K

    Greetings

    Heri iwenawe pia
  5. K

    Viongozi wanaotumia sumu zenye sumu ya udini wanahatarisha taifa letu lulu.

    Huyu ni mwananchi mwenye uchungu na nchi yake, makosa madogo madogo ya kisarufi na kutokufuata misingi ya uandishi isiwe sababu ya kushusha thamani ya maoni yake, nimeiso vizuri hii thread yake inaeleweka kama unania ya kuelewa...
  6. K

    kwa nini baadhi ya WANAWAKE wapo hivi???????

    Nadhan tutambue penzi la dhati ni lilelinalotoka ndani ya nyama za moyo. Upendo wa dhati huvumilia, pendo halitaki makuu, mimi naamini kuwa hama kitu duniani ambacho kinaweza kumfanya mwanadamu awenafuraha yadhati kama kujua kunamtu anayempenda kwa dhati ya moyo.. Kejeli, kashfa, matusi ni...
  7. K

    Habari Njema kwa Tanzania toka IBM Company!!

    Wengine hiyo IBM ndo tunaisikia leo tujuzen inahusika na jambo gan hasa.. Na upatikanaji wake ukovipi?
  8. K

    Matatizo mawili makuu kwenye samsung

    Ushauri wako ni mzuri ila kwa sasa sina bajeti ya kununua simu nzuri
  9. K

    Matatizo mawili makuu kwenye samsung

    bullet mimi nipo arusha je hao wataalam wanatawi hapa arusha.. Nielekeze niende mkuu shukran
  10. K

    Matatizo mawili makuu kwenye samsung

    ntashukuru sana dr phone.. Hilitatizo lina nisumbua mdamrefe hizo solution mlizotoa sijawah kuziona plz mkuu nitafutie kwenye maktaba yako
  11. K

    Matatizo mawili makuu kwenye samsung

    Wakuu hiyo messege inayoenda kwa huyo aliekuwa akinipigia inakuwa ni message hewa
  12. K

    Matatizo mawili makuu kwenye samsung

    Bilashaka leo upo happy, pole kama hauna furaha.. Wakuu mimi natumia samsung sgh u900 ina matatizo mawili makubwa 1) mtu akinipigia simu nikaikata bila kuipokea simu inakata alafu inaniandikia AUTO REPLAY MESSAGE SENT alafu hiyo message inaenda kwa huyo aliekuwa ananipigia, nimewapigia voda...
  13. K

    Where is CUF?

    Habari za mke muulize mume
  14. K

    Kama ingekutokea wewe ungefanyeje?

    Nashukuruni sana kwa ushauri wenu wapendwa hakika hakuna kama jf wote mlio nishauri nimependa ushauriwenu, bado napenda kusikia meng kutoka kwenu.. Ukwel huyu binti nampenda sana na nina malengo nae. Ila ndo hvyo kidudu mtu kimeingia
  15. K

    Kama ingekutokea wewe ungefanyeje?

    Mh! kweli asha d, hapo umenifungua akili ngoja ni waskize werevu wengine wana semaje
Back
Top Bottom