Recent content by KUNDAN

  1. K

    JamiiForums Tanzania Angalieni simu zenu WCF wanaita

    :p:p:p umepigiwa na dume ,una bahati mbaya (jokes)
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mil 150 niwekeze katika nini?

    Aisee njoo brother nikushauri ,nitakulengesha kila hatua. ila utanilipa 1M for consultation and showing you bussiness channels .then tuingie agreement ya 6% of your annual profit.only for first year. my friend wewe ni millionea and after 8 months you will become a billionea ,Displine katika pesa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Angalieni simu zenu WCF wanaita

    Wadau msipuuzie huo ujumbe ,hizi habari ni za kweli .ninathibitisha mimi pia jana walinipigia.msichoke kuwa karibu na simu zenu huenda mkapigiwa siunajua tulikua post nyingi na watu wengi, na mitihani ilikuwa rahisi vile. acheni niwe balozi wa WCF kwenu ,inawezekana hawa jamaa wapo FAIR. Namba...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Ontario ,sorry nilikua out na internet lakini ''inside bar tells us that buyers and sellers have been reluctant to push prices'' twende sasa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    ONTARIO Naomba quick advice ,kama nilivyokuambia nimejiunga ila nipo kwenye MT4 Platform XM real 20.je hii platform ni sahihi mimi kuwepo na nikitaka kubadili nafanyaje? sijawahi kutrade mpaka sasa.cash ipo ,ila sijui niendelee vipi? nisaidie brooo
  6. K

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    naomba uniingize katika orodha ya watu 300.hata kufungua account nyingine nitaifungua .
  7. K

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    mkuu mimi nina mpaka account ila nashindwa kuendelea
  8. K

    JamiiForums Tanzania Oral interview WCF Short list

    Hivi hawa WCF wana nini? maana written interview ilifanyika kwa namba ,na walisema majibu watatoa kwa zile namba ,sasa ni zaidi ya mwezi wa pili wengine tushapoteza hata tulipoziandika zile namba.sijui wana nia gani hawa jamaa?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kufundisha tuition centre masomo ya sayansi

    nitafute tupige kazi mkuu.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji eneo la kufanya kilimo na ufugaji biashara la bei nafuu popote ndani ya Dsm.

    unahitaji kununua au kukodishwa? na ukubwa kiasi gani eneo unalohitaji?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Oral interview WCF Short list

    kaka ukipata info ya wcf ni PM
  12. K

    JamiiForums Tanzania Oral interview WCF Short list

    Ze farmer jana yametoka? uliyaona wapi nami niyadekshie.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye updates za LAPF na WCF

    mwenye update za WCF written interview ya JUMAMOSI 18/03/2017 Atupe mrejesho.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Usaili utumishi, auditors

    Hivi kweli maswali ya paper ya written yanatosha kua ni kigezo cha kuchuja waombaji . Ma auditor wanaofanya statutory audits and other engagement,wanapewa maswali ya economics na statistics.wangesema basi kwenye tangazo tunataka watu wa economics. Tunajua wanahitaji watu wa economics ,civil...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi

    hakuna lolote wewe umepewa maswali .degree si sawa na diploma.post gani? IT assistant ? hiyo kazi ya diploma kweli .degree ni degree broo.siwezi kukwambia hongera.kwa kua najua hata hizo kazi utaenda haribu tu.ufanye kazi ya mtu wa DEGREE thubutuuuuu.
Back
Top Bottom