Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,605
hhahahahhahahaIyo apo
hawawezi kufanya kwa siri hivyo. wataweka kwenye mtandao kila mmoja aone, kama kweli wameita mtu aseme ameona wapi??acheni kutia watu presha nyie wakati kwenye website yao hakuna updates yoyote mpaka sasa
WAPI?Majina yametoka kweli mkuu ya WCF
Ndo naulizaWAPI?
Haukuweka alama ya kuulizaNdo nauliza
Iyo apo
Upuuzi.Iyo apo
Msg yenyewe anaiandika akiwa mirembeUshatoka mirembe?
Zama za ubashite zimeshapita we endelea kusubiri meli ubungowenye bahati zao watapata. kufaulu sio tija unaweza ukafeli na ukapata.
ishatoka hiyoHivi hawa WCF wana nini? maana written interview ilifanyika kwa namba ,na walisema majibu watatoa kwa zile namba ,sasa ni zaidi ya mwezi wa pili wengine tushapoteza hata tulipoziandika zile namba.sijui wana nia gani hawa jamaa?
Watu washaanza kaziHivi hawa WCF wana nini? maana written interview ilifanyika kwa namba ,na walisema majibu watatoa kwa zile namba ,sasa ni zaidi ya mwezi wa pili wengine tushapoteza hata tulipoziandika zile namba.sijui wana nia gani hawa jamaa?
Ha ha ha.. hongera mkuu
Acha kumkatisha mwenzio tamaa weweishatoka hiyo
Hii ndo bongo bahat mbaya wanaita BBMWatu washaanza kazi![]()
![]()
hiyo ndo ishatoka mkuu..... watu wanaendelea na jobAcha kumkatisha mwenzio tamaa wewe
kwan uko kwenye kitengo cha human resource cha wcf kwamba unajua watatumia utaratibu upi kupata info za watakaoitwa oral interview?
hiyo ndo ishatoka mkuu..... watu wanaendelea na job

basi tuwatakie kazi njema.