Mchukue hili huyu dada anaenda kuwa mfanyakazi wa CCM kwa kimvuli cha uwakilishi wa CHADEMA bungeni.
KATAMBI anajua hiyo michezo sababu yeye mwenyewe alivutwa kwa ofa nene kukaa na KATAMBI ni pigo kwa CHADEMA.
Wewe fala eti kila mkoa wenye bahari unafaa uwe jiji.Majiji yaliyo karibu na bahari yapo hatarini kupotea miaka ijayo leo unakuja na mada ya bahari ndo jiji hiyo mikoa ya pwani inatosha kuwa wazalishaji na wapokeaji wa mizigo ya bahari majiji yaendelezwe pengine.
Kama unaumia kuwakosa bungeni zile kelele za nileteeni rashidiiiii mlikuwa mnazitoa zanini,bora kukaa kimya kuficha ujinga wako,ww ni mtu mzima lakini akili umekosa sikufichi.Mlitaka bunge la kijani mmepewa bado mnalia au mnahitaji na wanawake wa CHADEMA muwaambukize na UKIMWI.?

Hana sehemu ya kuponea zaidi ya ubunge na CCM wamemchagua huyu wakijua hata elimu yake ni haba sana mwaka jana alikuwa form four resetter kwahiyo wanajua hatawasumbua.
Huyu dada hana CV hata ya mistari sita.
Bernad Membe mgombea urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT kesho anatarajia kufunga kampeni katika mkoa wa Lindi?
Hawa kina Bernard mwaka 2020 wamekuwa wana shida sana .
Bernad Membe- ndo hivyo tena anataka afunge ambacho hajawahi kukifanya
Bernad Morrison-kila mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.