Charlz ze son conscious
JF-Expert Member
- Aug 22, 2019
- 506
- 762
Redio mbao
Shule ya msingi uyole..Tulia 1478,Mbilinyi 121.shule ya msingi kituo no5, mbilinyi kura 203, tulia kura 26, hali ngumu sana.
Mwambie kaka.... Madam, kampiga gap kubwa sanaShule ya msingi uyole..Tulia 1478,Mbilinyi 121.
SidhaniMbeya kwa wajanja, naiona Mbarali na Rungwe zikibebwa na Chadema
Kwa wizi mliofanya leo sitashangaa.Hujui kitu.... Ituha kashapigwaa, sisimba kapigwa.... Au nkutajie na vingine
Masasi wapi.... Kura kata13, matokeo tayari.. Na zote kaburuzwa... Sugu kapigwaaKwenye huu Uzi Kuna watu wapo masasi wanaripoti matokeo ya Mbeya mjini kiwapa watu presha tu
Kata 13Masasi wapi.... Kara 13, matokeo tayari.. Na zote kaburuzwa... Sugu kapigwaa
Basi sawa. Haya umefurahiMasasi wapi.... Kara 13, matokeo tayari.. Na zote kaburuzwa... Sugu kapigwaa
Hicho kituo chenye watu 1000 kakianzisha nani au ndo hewa?Shule ya msingi uyole..Tulia 1478,Mbilinyi 121.
Hiyo ni kata.. Usijitoe ufahamu...Hicho kituo chenye watu 1000 kakianzisha nani au ndo hewa?
umreuliza vizuri mkuuHicho kituo chenye watu 1000 kakianzisha nani au ndo hewa?
Uku Musoma kituo kimoja kina watu kama elf2Hicho kituo chenye watu 1000 kakianzisha nani au ndo hewa?
Unategemea kituo kiwe na kata ngapi kaka???Hicho kituo chenye watu 1000 kakianzisha nani au ndo hewa?
Mwacheni ajifurahishe. Haijui Mbeya huyoHiyo ni kata.. Usijitoe ufahamu...
Hiyo ni kata.. Usijitoe ufahamu...