Recent content by Kulola

  1. K

    Dkt. Kikwete na Mkewe, Waondoka rasmi Ikulu na Kuelekea Msoga

    Kwa hakika tutakukumbuka sana Baba Kikwete kwa uongozi wako uliotukuka na kuisogeza Tanzania mbele kimaendeleo. Usivunjike moyo kwa maneno ya baadhi ya watu wasiokupenda tu kwa sababu zao binafsi. Tunakiri ulikuwa Kiongozi tuliyekuhitaji kwa wakati wako. Mungu akubariki.
  2. K

    Mbowe ni mzoefu wa kususia, Lowassa, Sumaye na Kingunge nasikia hoi

    Byobyote iwavyo, Magufuli alikuwa Mgombea Urais wa CCM, aliungwa mkono na Wana-CCM na Watanzania kwa ujumla hivyo ushindi wake ni ushindi wa CCM na Watanzania wote Wazalendo wa nchi yao
  3. K

    Wa kwanza kumkumbuka Kikwete

    Kumbe na wewe ni Juha! Vizuri umejitambua!
  4. K

    Waliofuatana na Lowassa CHADEMA

    Mafuriko!
  5. K

    Askari polisi na magereza mbeya wakamatwa kwa ujambazi

    Ujambazi!!!!! Jeshi Polisi mkoani Mbeya linawashikilia askari wawili ambao ni Askari wa Jeshi la Polisi na Mwingine wa Jeshi la Magereza baada ya kukamatwa katika tukio la ujambazi lililotokea Januari 3 saa 11 jioni kwenye Mlima Kawetele barabara ya kati ya Mbeya Mjini na Wilaya ya Chunya...
  6. K

    Wizi wa ATM: Wanne wakamatwa Mbeya

    Ni kweli, wateja kadhaa wa CRDB wameshaibiwa tena sana tu. Mimi nipo Mbeya watu wangu wa karibu kadhaa wameibiwa ila kama ulivyosema walikwenda kwa Meneja wa Tawi, akawataka kuwasilisha taarifa zao kwa maandishi na baadaye kurudishiwa fedha zao. Tena mmoja fedha zake zilionekana kutolewa kupitia...
  7. K

    Live on Star Tv Apr 23: Sheria za Kumiliki Silaha

    Jumatatu April 23, kwenye kipindi cha Tuongee Asubuhi Star Tv kuna mjadala kuhusu Sheria zinazohusu umilikaji wa silaha nchini. Tutachambua namna sheria zinazohusu umilikaji wa silaha nchini na mamlaka husika zilivyoshindwa kusimamia sheria hizo katika kudhibiti umiliki haramu wa silaha na...
  8. K

    Lowassa Ndani ya Mbeya mchana huu

    Jumatatu April 23, kwenye kipindi cha Tuongee Asubuhi Star Tv kuna mjadala kuhusu Sheria zinazohusu umilikaji wa silaha nchini. Karibu
Back
Top Bottom