Live on Star Tv Apr 23: Sheria za Kumiliki Silaha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Live on Star Tv Apr 23: Sheria za Kumiliki Silaha

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Kulola, Apr 22, 2012.

 1. K

  Kulola Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jumatatu April 23, kwenye kipindi cha Tuongee Asubuhi Star Tv kuna mjadala kuhusu Sheria zinazohusu umilikaji wa silaha nchini.

  Tutachambua namna sheria zinazohusu umilikaji wa silaha nchini na mamlaka husika zilivyoshindwa kusimamia sheria hizo katika kudhibiti umiliki haramu wa silaha na biashara haramu za silaha vitu ambavyo ni chanzo cha uhalifu nchini.

  Karibu!
   
Loading...