Recent content by kukuma

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwa connection ile ya Harmonize mvua za El Nino zikija tutapona kweli?

    Mshatolewa kwenye ishu ya PM wameleta hii msahau kule na wamefanikiwa Bongo nyumbu wengi sana tena. Sana yaani akili hata hawana hiyo clip imekuja kuziba ya PM, CCM itaendelea kuongoza hizi ng’ombe vizazi na vizazi
  2. K

    JamiiForums Tanzania Goba parachichi 7000

    Watakuja hapa watakuambia tafuta hela, safi sana umesave Elfu 33
  3. K

    JamiiForums Tanzania KERO Inakuwaje gharama ya kutengeneza 'kidude' cha kuwekea umeme wa LUKU ni bei kubwa hivi?

    Kwahiyo unajibizana na Roboti la Tanesco hatari kweli kweli
  4. K

    JamiiForums Tanzania Makonda: Tutaangalia kama Dudu Baya anaweza kuwajibishwa kisheria

    Huyo cocastic ni msagaji kwahyo msishangae akisapot hayo mambo shame on u
  5. K

    JamiiForums Tanzania Uchumi wetu wa ma-ndoo ndoo. Hii ndio hali halisi ya Watanzania lukuki

    Dah et uchumi wa mandoo
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa huko mbeleni Powercef (Ceftriaxone) ikashindwa kutibu kabisa kutokana na drug resistance

    Huu uzi unamadini ngoja niketi hapa elimu nzuri sana mtoa mada
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mnaowekeza Arusha karibu na uwanja wa AFCON wekeni mikakati ya muda mrefu kuendeleza biashara na sio faida ya mwezi mmoja ya AFCON.

    Mtwara watu walipata sana hasara plot ya 1ml iliuzwa 10ml kisa gas mradi ukawa tia maji tia maji had leo mji umepoa
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais patajengwa brand new city kwenye fukwe za pangani mfano wa goldcoast australia au miami

    Unazijua fukwe za Lindi wewe
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kulipa kodi kubwa sio sifa

    Point
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kesho Azam Tv ataonesha mechi ya CAFCL bure kama kibali alichopewa kinavyosema?

    Vipi wameonesha Bure ?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Jiji la Arusha lina watu nadhifu na wasafi kuliko majiji yote

    Mtoaji wa hii thread ulipita tu Arusha mara moja, ujakutana na raia zinakaa huko wanaita ilkidin'ga zinavyotoa harufu za kibeberu na ugoro
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaoa Usukumani, zingatia haya ili ndoa yako idumu

    Umeandika ukweli kabisa, wanawake ndio wanachale Sana kila unayemuona kuanzia mgongoni kwa juu, mikononi etc na ishu za waganga pia
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tulinyanduana vibaya

    Kwani hauna account Facebook.? Hii ungeichapisha kule ingekuwa unyama Sana. Sijuhi umeandika takataka gani hapo mwenyewe.
Back
Top Bottom