Recent content by KUKU-DUME

  1. KUKU-DUME

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hivi kwa ambao tumeshalipia umeme hizi garama mpya za uunganishaji wa umeme zilizo tangazwa Leo je zinatuhusu na sisi?
  2. KUKU-DUME

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nyie TANESCO nimelipia umeme yangu tarehe 16/11/2021 lakini Hadi leo sijaunganishiwa umeme na mkataba wa maunganisho unasema Kama hapahitaji nguzo Ni siku 30 tu za kazi lakini Hadi leo hii NIPO MKOA WA IRINGA MAJINA ABASS KASIM BOLOLO NAMBA YA SIMU 0757093134/0734191974
  3. KUKU-DUME

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nikweli Bei ya kuingizia umeme mijini imeshuka Hadi 27000?
  4. KUKU-DUME

    Islamic Laws of Wills

    je kuvunjika kwa ndoa ya kiislamu mkeanahaki ya kugawan mali ikiwa yeye ni mama wa nyumbani na mme ni mtumishi wa serikali na mfano nyumba imejengwa kwa mkopo wa benki dhana ikiwa ni mshahara wa mme....naomba majibu
  5. KUKU-DUME

    Je, Mtoto wa kambo ana haki ya kurithi mali?

    Msaada wanasheria Mimi nimeoa mke na nikakopa benk hela ya kujengea nimeweka mshahara wangu dhamana je tukiachana tunagawana pasu kwa maana 50-50 waakati huo mkopo haujaisha
  6. KUKU-DUME

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Samahan kaka mfano mm mke wangu anataka talaka na tunanyumba ambayo nilikopa pesa benki na kuweka dhamana ya mshahara maana mm ni mtumishi je nikiachana nae nyumba inaweza kiuzwa tukagawana au anaweza kuambiwa abaki kwenye nyumba mimi niondoke na mkopo bado haujaisha wananikata mshahara wangu na...
  7. KUKU-DUME

  8. KUKU-DUME

    Machimbo mapya ya dhahabu Iringa tayari yashakula watu wawili

    yanapatika kinywang'anga isman mm ni mwenyeji wa huko sio mkungugu wala kinyanambo
  9. KUKU-DUME

    tulio pangiwa iringa dc tukutane hapa

    wakuu tagadhali wale walim ajira mpya tulio pangiwa halmashauri ya iringa dc tukutane hapa tufahamiane
  10. KUKU-DUME

    Arusha: Lema amewapa kilema Wanaarusha

    haumuui chura kwa kumtupa ndani ya maji
  11. KUKU-DUME

    Naibu Waziri, Dkt. Abdallah Possi, ateuliwa kuwa Balozi

    3T......teua......tengua.....tumbua
  12. KUKU-DUME

    Walimu zaidi ya 600 wagomea kiwango cha posho kwa ajili ya semina

    hapo awali walisema wanalipa kulingana na ngazi za mishahara sasa badae wamekuja wanasema wanalipa viwango sawa na pia chakula kukatwa elf 15...ambacho walikuwa wanadai sio chakula chenye thaman ya hiyo pesa
  13. KUKU-DUME

    Siasa za Marehem Alphonce Mawazo zingekua kama siasa za Lema!

    katika vifo vya wanasaiasa ambavyo naumia hadi leo ni cha alfonsi mawazo....siamin kama amekufa kweli.
Back
Top Bottom