KUKU-DUME JF-Expert Member Sep 3, 2013 474 196 Apr 17, 2017 #1 wakuu tagadhali wale walim ajira mpya tulio pangiwa halmashauri ya iringa dc tukutane hapa tufahamiane
wakuu tagadhali wale walim ajira mpya tulio pangiwa halmashauri ya iringa dc tukutane hapa tufahamiane
A Asovene JF-Expert Member Jan 7, 2017 213 216 Apr 17, 2017 #2 mwalimu mpya mbona unanitisha angalia uandishi wako.nitajie shule uliyopangiwa nikaamishe mdogo wangu
mwalimu mpya mbona unanitisha angalia uandishi wako.nitajie shule uliyopangiwa nikaamishe mdogo wangu
andjul JF-Expert Member Dec 14, 2013 18,735 119,721 Apr 17, 2017 #3 KUKU-DUME said: ....... tagadhali........... halmashauri ya iringa dc....... Click to expand... Karibu mwalimu wangu
KUKU-DUME said: ....... tagadhali........... halmashauri ya iringa dc....... Click to expand... Karibu mwalimu wangu